TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Tangu Simba irudi kwenye ubora wake imecheza bigmatch mbili pekee....ile ya yanga na Simba alaf na nkana Kwahyo punguzeni kuongea bado bigmatch zinakuja huko...saoura sio bigmatch ....Mbabane sio bigmatch ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Akimfunga Vita pia mtasema sio big match
Au mpaka akacheze klabu bingwa ya dunia na Real Madrid ndo mseme big match?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapinduzi kombe au Bonanza
Uliona wapi mashindano unafanya SUB Hadi 6?
Hauko serious mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mapinduzi Cup mliyakamia kinoma yale Mashindano.

Mmepeleka hadi kikosi chote kizima cha kwanza kikawapige tafu ili muingie nusu fainali.

Kama ni Bonanza...kwanini Bocco,Okwi,Kagere,Chama walienda kushiriki.

Yanga pekee mwenye kikosi cha namna ile ndie aliyepaswa kusema ni Binanza. [emoji23]

Walienda kufanya mazoezi ya kumpiga mwarabu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba anakazi ngumu kumshusha Yanga anaeshinda kila mechi...hiyo iko wazi bila unazi.
Simba tuna mechi na AZAM FC, MTIBWA, BIASHARA, COASTAL, MBEYA CITY... Ambazo tunatakiwa kushinda zote ili kumtia presha aliyeko juu, Tukiteleza hata mechi 1 tu ni hatari sana.
Tofauti na watani zetu wao hata wakiteleza moja bado wako juu point.
Kazi tunayo.
 
Tangu lini kambi ya kujiandaa na mechi kubwa ikafanyika kwa kushiriki michuano mingine? [emoji23][emoji23]

Hamna pa kuchomokea, mlikuwa na uwezo wa kuweka kambi Dar. Ila kwakuwa hakuna wachezaji wa kushiriki Mapinduzi mkaamua kubeba kikosi kizima. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba anakazi ngumu kumshusha Yanga anaeshinda kila mechi...hiyo iko wazi bila unazi.
Simba tuna mechi na AZAM FC, MTIBWA, BIASHARA, COASTAL, MBEYA CITY... Ambazo tunatakiwa kushinda zote ili kumtia presha aliyeko juu, Tukiteleza hata mechi 1 tu ni hatari sana.
Tofauti na watani zetu wao hata wakiteleza moja bado wako juu point.
Kazi tunayo.
WATAKUFUATA INBOX WAKUTUKANE.

WENZAKO HAWAPENDAGI KUAMBIWA UKWELI WA NAMNA HIYO...[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapinduzi Cup mliyakamia kinoma yale Mashindano.

Mmepeleka hadi kikosi chote kizima cha kwanza kikawapige tafu ili muingie nusu fainali.

Kama ni Bonanza...kwanini Bocco,Okwi,Kagere,Chama walienda kushiriki.

Yanga pekee mwenye kikosi cha namna ile ndie aliyepaswa kusema ni Binanza. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuwa tunapasha moto misuli... Majibu yake anayo JS SOURA.
Yanga alivyopeleka wale vijana ulitaka na Simba awaige
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kupasha misuli moto?

Na wale wachezaji 3 (ndemla,kichuya,niyonzima) waliosafirishwa haraka sana kwenda zanzibar walikiwa wanaenda kupasha moto nini? [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom