Kwa logic ndogo haya maneno yalifaa endapo simba wangekuwa wanaongoza ligi na yanga akiwa ameshinda FA ndipo mgekuwa mnatoa maneno kama haya, mda huu timu zote zingekaa kimya maana ziko nyuma ya yanga pamoja na upana waoKwa Yanga hi usitegemee akiwa bingwa afanya lolote Africa kwa kikosi hiki
Massive investment inahitajika kupambana kule
Usitegemee kutembeza bakuli litasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kama ni mimba basi ndo wiki ya Kwanza!!! unajitapa kununua visurali vya kiume wakati hata ujaanza kulamba Ndimu.[emoji23][emoji23][emoji23] bado Kongo, misri... Ni swala la muda tu....Hali halisi Hadi Sasa Simba ndo kinara wa kundi na jumamosi anaenda kutafuta ushindi wa 2 mfululizo kule Congo DRC
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali halisi Hadi Sasa Simba ndo kinara wa kundi na jumamosi anaenda kutafuta ushindi wa 2 mfululizo kule Congo DRC
Sent using Jamii Forums mobile app
injinia soma hiyoo
Sema yanga bingwa
Hatuna pesa ya kununua makipa wala marefa tafadhali tuache........
Tena sana mkuu. Hapendi kusikia Yanga inashinda
Kwani Yanga hawachezi mkuu?
Kama point yako ni FA Cup na unataka kutumia Logic.Kwa logic ndogo haya maneno yalifaa endapo simba wangekuwa wanaongoza ligi na yanga akiwa ameshinda FA ndipo mgekuwa mnatoa maneno kama haya, mda huu timu zote zingekaa kimya maana ziko nyuma ya yanga pamoja na upana wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu,,Simba wako mbali Sana kwa kiwango ukilinganisha na hizi timi za bongo zilizobaki
Sent using Jamii Forums mobile app