TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Kwa Yanga hi usitegemee akiwa bingwa afanya lolote Africa kwa kikosi hiki
Massive investment inahitajika kupambana kule
Usitegemee kutembeza bakuli litasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa logic ndogo haya maneno yalifaa endapo simba wangekuwa wanaongoza ligi na yanga akiwa ameshinda FA ndipo mgekuwa mnatoa maneno kama haya, mda huu timu zote zingekaa kimya maana ziko nyuma ya yanga pamoja na upana wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali halisi Hadi Sasa Simba ndo kinara wa kundi na jumamosi anaenda kutafuta ushindi wa 2 mfululizo kule Congo DRC

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kama ni mimba basi ndo wiki ya Kwanza!!! unajitapa kununua visurali vya kiume wakati hata ujaanza kulamba Ndimu.[emoji23][emoji23][emoji23] bado Kongo, misri... Ni swala la muda tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa logic ndogo haya maneno yalifaa endapo simba wangekuwa wanaongoza ligi na yanga akiwa ameshinda FA ndipo mgekuwa mnatoa maneno kama haya, mda huu timu zote zingekaa kimya maana ziko nyuma ya yanga pamoja na upana wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama point yako ni FA Cup na unataka kutumia Logic.
Nipe probability ya Simba kuchukua FA na probability ya Yanga kuchukua FA.
0 vs 1/32.
Unaweza kubet hapo?
 
Back
Top Bottom