21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
teheh tehehMimi ni Msimbazi lakini ningeshauri Yanga wapewe tu kombe lao tugange yajayo...
Mimi Tena ndo nikamkabe?Mkuu unaongea tu badala ya kwenda kumkaba?
Swali zuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiangalia mpira huwezi elewi Yanga wanafungaje maana hata kupiga pass 5 hawawezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wale waarabu wachovu Wa Algeria wangekuwa makini kuna goli tatu hivi wangefungaBeki ya yanga inafanya makosa sana hawa mwadui wangekuwa makini wangefunga mengi tu
Simba wakikutana na Mbao lazima wakae tu,kama unabisha thibitisha kauli yakoYanga hata kupiga pasi 5 wanashinda wakikutana na Al Ahly au tp Mazembe
Watapigwa 8 au 9
Mpira wa hovyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hiyo ndio Dar Es Salaam Young African Sports Club....daima mbele nyuma mwiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaikumbuka man u ya kina paul scholes??Yanga hata kupiga pasi 5 wanashinda wakikutana na Al Ahly au tp Mazembe
Watapigwa 8 au 9
Mpira wa hovyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiporo kimoja tuu,Azam na nawashangaa sana hawa TFF inakuwaje tuanze kucheza match ya mzunguko wa pili bila kumaliza kiporo chetu na Azam ambao hawapo kwenye michuano yoyote ile. Hii ni hujuma inaandaliwa.