Mmeshindwa kubeba ndondo cup mtaweza ligi hii?
Ndugu dakika ya ngapi? Manake siangalii mechiMmeshindwa kubeba ndondo cup mtaweza ligi hii?
Mkuu ingia live score uangalie msimamo wa ligi wa Algeria ndiyo utajua kumbe simba alikuwa anacheza na aina gani ya timuhuu ndiyo ukweli wenyewe, hivi simba mnafikiri mtaendelea kufunga magoli ya offside mpaka lini? yaaani bao 3 zootee za offside duuuu alooo kweli mliokota dodo mchangani
Mkuu Brave one anaweza akamsaidia kujibu hapaNdugu dakika ya ngapi? Manake siangalii mechi
Mpira umeisha Yanga 3 mwadui 1
Unataka kusema mwadui ni bora kuliko mwarabu au?Mkuu ingia live score uangalie msimamo wa ligi wa Algeria ndiyo utajua kumbe simba alikuwa anacheza na aina gani ya timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa updates japo duh!....si kwa kutunanga huko[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Na wewe unatuchosha bwana Timi ndio nini?Simba wako mbali Sana kwa kiwango ukilinganisha na hizi timi za bongo zilizobaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwango kizuri kilikuwa mlivyocheza na Mashujaa Musica.
Ule upepo upo au bado?Very soon Yanga wataanza kupoteza mechi kiwango Chao kipo chini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeona mechi ya leo mlivyoanzisha mpira mlifanya nini au mtatudanganya mnafanya vile kuathiri psychology ya wapinzani?Yanga ni ile ile Daima,hata match ya round ya kwanza mlisema hivi hivi mwisho wa siku mkasingizia Uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira hauko hivyo unavyofikiria ndugu. Football is not mathematics that if A=B and B=C then automatically A=C.Frank kwa yanga hii ya leo simba mnaweza kucheza nayo ama mtakwepa kuepuka fedheha?