TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Yanga ni ile ile Daima,hata match ya round ya kwanza mlisema hivi hivi mwisho wa siku mkasingizia Uchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeona mechi ya leo mlivyoanzisha mpira mlifanya nini au mtatudanganya mnafanya vile kuathiri psychology ya wapinzani?
.
All in all simba ndiyo timu bora zaidi Tanzania round hii ya pili yanga ikikutana na simba itakuwa ni kiama na tuta dedicate magoli yote kwa marehemu mafisango mutesa Patrick.
 
Back
Top Bottom