TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

Chama ni mwalimu mzuri Sana nadhani Allience watakuwa wamechukua ujuzi
 
CHAMA THE BEST
OKWI FANTASTIC
Wale ma'House girl wanaoshindia ndani tu nje hawatoki... Povu ruksa.
Kule NDALA hakuna wa kupata NAMBA huku UNYAMANI.. Sio kwa soka hili na Kikosi hiki.
ILA WA HUKU AKIENDA KULE anakua MANJI Wao kabisa.. [Mtani wa Jadi]
Mkuu Umesahau kuwa kila siku inayopita mnamlilia Ibrahim Ajibu Migomba mpaka mimba zinataka kutoka kwa sababu ya kilio!!!
 
Dk '84
Huyu Kapombe ni Tanzania 2... no one aisee pale Starz.
Mh raisi alishangaa kipa kufungwa magoli mepesi matatu kule cape Verde..huyu Manula atazamwe kwa jicho lingine..isije akawa analilia Tanzania one kama Wema anavyolilia Tanzania sweetheart.... kila Siku anafungwa magoli kutoka nje ya 18.. akitufungisha Lesotho atafute pa kukimbilia ...
 
Hivi kwa nini tusiwaombe TFF wakaturuhusu tukacheza mechi ya mzunguko wa pili sasa hivi?

Ili Yanga apate hela ya kutosha kuanza route za mikoani.
 
Sambamba na kutafuta ushindi, tuna desturi ya kuwapa burudani wadau wa soka ile ya Lunyasi, yaani hatari tupu

Tanzania hakuna anayeweza hayo yote [emoji3][emoji3] ukibisha timu ushindi inakusubiri sembo OKW BOBAN SUNZU Shunie Ghazwat [emoji3][emoji3] kazi kwenu watani demigod Hajar Sibonike
😂😂😂😂 kama nakuona Mtani ulivyolala na furaha kama yote.

Ila sijaona cha kushangaza ujue maana kama sisi Omba omba tulimfunga tatu wewe ulitegemea umfunge ngapi. 😀😀😀
 
Mh raisi alishangaa kipa kufungwa magoli mepesi matatu kule cape Verde..huyu Manula atazamwe kwa jicho lingine..isije akawa analilia Tanzania one kama Wema anavyolilia Tanzania sweetheart.... kila Siku anafungwa magoli kutoka nje ya 18.. akitufungisha Lesotho atafute pa kukimbilia ...
Kuna kipa kama AISHI hapa bongo?.. au unailaza akili
Au ukisikia rais ndio unajua anajua kila kitu
 
Hongereni bana Watani zangu ila niseme tu sio jambo la kushangaza na kuwafanya mtaaambe wakati katimu kenyewe kako mkiani. Teh teh.

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom