3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Anafikir nila Tambwe la mkonoPunguza hilo goli mkuu, isiwe tabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafikir nila Tambwe la mkonoPunguza hilo goli mkuu, isiwe tabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chama ni mwalimu mzuri Sana nadhani Allience watakuwa wamechukua ujuzi
Mkuu Umesahau kuwa kila siku inayopita mnamlilia Ibrahim Ajibu Migomba mpaka mimba zinataka kutoka kwa sababu ya kilio!!!CHAMA THE BEST
OKWI FANTASTIC
Wale ma'House girl wanaoshindia ndani tu nje hawatoki... Povu ruksa.
Kule NDALA hakuna wa kupata NAMBA huku UNYAMANI.. Sio kwa soka hili na Kikosi hiki.
ILA WA HUKU AKIENDA KULE anakua MANJI Wao kabisa.. [Mtani wa Jadi]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu vipi ladha yakeNipo hapa nakula ugali na goli la chama
Mh raisi alishangaa kipa kufungwa magoli mepesi matatu kule cape Verde..huyu Manula atazamwe kwa jicho lingine..isije akawa analilia Tanzania one kama Wema anavyolilia Tanzania sweetheart.... kila Siku anafungwa magoli kutoka nje ya 18.. akitufungisha Lesotho atafute pa kukimbilia ...Dk '84
Huyu Kapombe ni Tanzania 2... no one aisee pale Starz.
😂😂😂😂 kama nakuona Mtani ulivyolala na furaha kama yote.
😂😂😂😂 kama kawaida Mtani wangu leo Off. Teh teh.Gari Lishawaka.
Ni mtoto wa nyumbani ila huku anaanzia benchi.Mkuu Umesahau kuwa kila siku inayopita mnamlilia Ibrahim Ajibu Migomba mpaka mimba zinataka kutoka kwa sababu ya kilio!!!
Kuna kipa kama AISHI hapa bongo?.. au unailaza akiliMh raisi alishangaa kipa kufungwa magoli mepesi matatu kule cape Verde..huyu Manula atazamwe kwa jicho lingine..isije akawa analilia Tanzania one kama Wema anavyolilia Tanzania sweetheart.... kila Siku anafungwa magoli kutoka nje ya 18.. akitufungisha Lesotho atafute pa kukimbilia ...
House girl bado yumo ndani anapiga dekiHivi kwa nini tusiwaombe TFF wakaturuhusu tukacheza mechi ya mzunguko wa pili sasa hivi?
Ili Yanga apate hela ya kutosha kuanza route za mikoani.