Na kweli usenayo Mtani tuzidi kupambana nayo tu na nafasi ikipatikana tujumuike kama hivi tu refresh akili.W'Alekum Salaam Mtani
Mambo Tu Yanaenda Kombo Na Hii Kasi Ya Maisha Muda mwengine Unapotea Bila Kujijua Kma Umepotea.
Nipo Mtani Kitaani Tuh Uko Kwa Mchina Sijajaaliwa.
Naona Mwaka Wenu Huu Lakini Sikubaliani Na Ilo Mtani Muda Bado, Ngoja Tuone
Umelewa?Simba ndo timu gan
Ipo wap ...
Ni ya nan
Ipo nchi gani
Hebu weka details
Waachage kutugeza maana wameona tumefaiiidi.Yanga akishinda tatu, na nyie mnataka hizo hizo. Haya, tumewaona.
Kulewa ndo kufanyejeUmelewa?
Ndo kulewa!Kulewa ndo kufanyeje
Hahahaha Yaani Tunawageza Lol!Ndiooo. πππ
Muachage kutugeza.
Hahahaaaa. Eti Onyo Mtani. ππππHahaha.. Mtani leo tumetoa onyo.. Ole wake anayefuata.
Ndio rafiki mngeshinda hata nne basi. πππHahahaha Yaani Tunawageza Lol!
Ok sawa sawa mkuu tusikimbiane tu kwa Leo wambie na machizi wenziyo Wa simba wasing'oe viti pale wapiga debe watakapo Fanya yao cc@hajar
Nawatakia kila la kheri katika mechi yenu ya leo. Stand ni timu nzuri ila uwezo wa kuwazuia ni mdogo sana.
Kuweni makini sana Msiwe na overconfidence kisa Mwekezaji karudi hao mnaocheza nao hawatabiriki. Hii inaweza kuwa tricky game kwenu
Hajar njoo ushuhudie draw nyingingine huku
[emoji2] [emoji2] Wewe Manara kwa Tambo haujambo
Kila la heri Stand United tupo pamoja nanyi
Mkijitahidi sana itakuwa droo tu.
Wakuu zangu nawatakia usiku mwema.Mkijitahidi leo ni sare tasa.
Hahaaaa. Mtani ndio kesho Off eee?Wakuu zangu nawatakia usiku mwema.
Usijali Mtani tuombe uhai tu.Hahaha.. Hili ni onyo mtani.. Na kuthibitisha hili tukutane mechi ijayo.
Naona umeokota Dodo chini ya mchongomaWakuu zangu nawatakia usiku mwema.
hahahahaha..! bakiza akili ya kukumbuka njia ya kurudia hom, angalia Shunie usije kuondoka na wasiojulikana tushindwe kuendekea na hadithi zetu kule jukwaa pendwa