Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachaaaaaaa. Haya kila la kheri Mtani ila angalia usije zimika tu.Huwezi amini Mtani, nipo natamba hapa kwa masaa mengine 24.
🙏🙏🙏Hahaha.. Shukrani Mtani.
Hahaha.. Mkuu huyu jamaa hafai kabisa.. Mda huu nipo hospital kazimisha mtu tena.Yaani Cleoutus Chota Chama anajua sana mpaka anatukera huku mtaani[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha.. Mkuu huyu jamaa hafai kabisa.. Mda huu nipo hospital kazimisha mtu tena.
Navyoona Serikali itamzuia kucheza mpira nchini mda si mrefu ili kuokoa afya za wananchi wake.
Walikusikia bhanaSimba piga hao wahuni wastendi ndogo Shinyanga goli tatu....waende wakafanya kazi za Zengo
Swadaktaa mkuuQ
Walikusikia bhana
Mkuu, full kupatikana. Network yote ipo vizuriWakuu zangu nawatakia usiku mwema.
Nimekupata..ambapo Alex Kitenge akicheka na Nyavu mara tatu, lakini leo Juuko sijui alimfanya nini?[emoji3][emoji3]Tuliwapiga 4 wakati tukimpa mazoezi Kindoki. Au unasema ipi?