TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Ukuta wa Berlin ukiongozwa na Kakolanya hauwezi vunjwa na mafoward wazeeee kama Okwi na Kagere
 
HKAMAA ULISOMAA HII POST USINGEENDA TAIFAAA.. SIO MNAJIMU MIE
 
Mlijenga mashambulizi vizuri na umiliki wa mpira mlikuwa bora sana ila mmeshindwa kubadili matokeo.
Naona Mkuu umeonekana baada ya mpira kuisha.. Nimefurahi kukuona jukwaani.. Ila mshukuruni Mganga wenu.
 
Nasikia yanga walipaki mtrakta wakati simba walikua wanagumia guta kwenye kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…