waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,749
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Simba kwa mpira huu hawata fanyaje? Hahaaaa sijui mheshimiwa alisemaje
Hawafiki popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Simba kwa mpira huu hawata fanyaje? Hahaaaa sijui mheshimiwa alisemaje
Nimecheka hiii commentMwambieni Haji yeye mtoto wa Jangwani tuu, ameenda simba kufanya kazi! hajui kuwa yanga tulikuwa washenga kumchumbia mama yake ndo akazaliwa yeye (Mzee Omary, 2018)
Nywenyweeeee kumbe hata kufunga hamuwezi.
Yaani yule Mara wameambiwa wapeleke maiti moja kutoka MV nyerere khaaaaa
Hatukujua kama mmerogaWakati mechi inaanza mambo ya ushirikina hayakwepo mmetoa droo mnaanza visingizio
Yaani kwa kweliWalikua na matumaini makubwa mno wakati timu ya kawaida sana
Hahaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hawafiki popote
Huyu huyu ndo kawadanganya ,,,Tundu la Simba lilishatobolewa tobo ni tobo toooobooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga FC msijidanganye ' Kiufundi ' bado hamna uwezo wa Kuifunga Simba SC katika ' Derby ' ya tarehe 30, Septemba 2018 - JamiiForums
Wana Simba SC ' Kazi imekwisha ' kata Tiketi yako haraka tarehe 30, Septemba 2018 Yanga SC anafungwa 2 kwa 0 Uwanja wa Taifa - JamiiForums
Natahadharisha mapema kama Wewe ni Mwanayanga na una matatizo ya Moyo / Presha Kesho tulia Nyumbani Uugulie vizuri Kipigo! - JamiiForums
PICHA: Kuelekea Mchezo wa watani wa Jadi, wachezaji wa Simba SC Tanzania wakutana na Sangoma. - JamiiForums
Mtabiri maarufu Sumbawanga atabiri Yanga kuchezea kichapo kesho - JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukuta wa Berlin ukiongozwa na Kakolanya hauwezi vunjwa na mafoward wazeeee kama Okwi na KagereImpact yake iko hivi;
1. Ndala mna ukuta mbovu saana, ambao MK14, Okwi, Kichuya, Salamba n.k kila mmoja ataondoka na goli zaidi ya 1
2. Ukuta wa Mnyama unaweza kuufananisha na ule wa Berlin.. haupitiki kabisa.. Kwa kifupi Ajibu, Mama Kambo hawana uwezo wa kuvunja mnyororo unaoenda kutengenezwa na.. Kapombe, Nyoni, Wawa na Tshabalala
3. Kuhusu msimamo, tunaenda kuwashusha leo.. Na si tunawashusha tu, bali hili zoezi litaambatana na kipigo kizito tutakachowashushia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlijenga mashambulizi vizuri na umiliki wa mpira mlikuwa bora sana ila mmeshindwa kubadili matokeo.Hahaha.. Mkuu hii mechi tushaimaliza. Tunasubiri saa 11 tukamilishe ratiba.
Simba nyie ndio wachawiHatukujua kama mmeroga
HHatimaye 30/09/2018 imefika. Leo ni siku ambayo ilikua ikisubiriwa kwa hamu sana ambapo, Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC atamkaribisha Yanga SC katika dimba la Taifa Stadium.
Mechi hii inatarajiwa kuanza mnamo saa 11 kamili.
Update 1.
Jeshi La Maangamizo la Simba SC
Kikosi Cha Kwanza
1. Aishi Manila
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. James Kotei
7. Jonas Mkude
8. Clatous Chama
9. Meddie Kagere
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya
Kikosi Cha Akiba
1. Deogratius Munishi
2. Paul Bukaba
3. Asante Kwasi
4. Said Ndemla
5. Mo Ibrahim
6. Adam Salamba
Update 2.
Kikos cha Yanga SC
1. Benno Kakolanya
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Vicent Andrew 'Dante'
5. Kelvin Yondani (C)
6. Feisal Salum 'Fei toto'
7. Deus Kaseke
8. Papy Tshishimbi
9. Herietier Makambo
10. Ibrahim Ajibu
11. Mrisho Ngasa
SCORE UPDATES:
Hadi mapumziko (HT): Simba 0-0 Yanga (Kipindi cha kwanza kimetawaliwa zaidi na Simba)
SCORE UPDATES:
FT: Mpira umeisha.. Simba SC 0-0 Yanga SC
Acheni fikira za kichawi nyinyi
Ati unasema tobo? [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu huyu ndo kawadanganya ,,,Tundu la Simba lilishatobolewa tobo ni tobo toooobooo