Kila kitu katika mechi ya leo asilimia 99% tumeshinda isipokuwa bao moja limeingia lakini refa kaondoka nalo.Mkuu simba mmeshinda??
Nyie mliondelea mmefika wapi? Ndoo ngapi za TPL? Makombe mangapi ya CAF?Itaendelea vipi haliyakuwa mpira haijui halafu yanashangilia kutoa suluhu na timu bora kabisa ya SIMBA
Mganga tapeli amewadanganya amekula kuku wa dawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa niaba ya mganga wa simba aliyetabiri ushindi
Mechi itakayokuja waganga watakula sana hela za simba maana si kwa kuamini uchawi huku
Yanga tumeumia sana draw na kibonde wa MbaoMkuu.. Ni wote tumeumia.. Mda huu nipo napoza machungu hapa nje ya uwanja na six pack zakutosha
Mmeumia kama tulivyoumia Yanga?Mkuu.. Ni wote tumeumia.. Mda huu nipo napoza machungu hapa nje ya uwanja na six pack zakutosha
Mkuu.. Ni wote tumeumia.. Mda huu nipo napoza machungu hapa nje ya uwanja na six pack zakutosha
Nilikua namuamlaumu Rage kumbe alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbuKila kitu katika mechi ya leo asilimia 99% tumeshinda isipokuwa bao moja limeingia lakini refa kaondoka nalo.
Yamepita tunajiaandaa na mchezo mwingine!
Siku hizi hazionyeshagi kama ziko edited ama lah,Fuata post yangu ya Kwanza kama utaona edit
Una haki kusema hivyo... dakika 90 zimeisha umeacha kushika mapumb*..Yanga tumeumia sana draw na kibonde wa Mbao
Kabisa Simba wataliwa sana,maana si Kwa imani hii ya uchawi waliyo nayoMechi itakayokuja waganga watakula sana hela za simba maana si kwa kuamini uchawi huku
Ha ha ha,Bado kidogo nitakuwa Mtabiri wa Nyota
Historia ya marehemu 🐸🐸Nyie
Nyie mliondelea mmefika wapi? Ndoo ngapi za TPL? Makombe mangapi ya CAF?