TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Mwinyi Zahera ni kocha mzuri sana, Amesema amewatoa Ajibu na Kaseke kwasababu hawa kuwa wanafata maelekezo.
Anasema simba wanacheza aina moja ya mpira
 
Wana haki ya kushangilia droo..
Hongera sana BENO KAKOLANYA uko poa sana tena sana..
Umeonyesha uwezo mkubwa sana, lakini hapohapo umeonyesha uwezo wa beki'line yako ilivyokuwa inakutegemea wewe uokoe jahazi.
Simba iko poa sana.. Game ya 6 ligi mbichi hii..
CHAMA, MKUDE, KOTEI.. Mmewalaza viungo wale na viatu balaa.,
HAWATASAHAU!!
 
Wewe umeshangilia bhana acha hizo. Watu tumeshindwa kutoka vizuri uwanjani mnashangilia mno

Leo wewe umeshinda!
Mkuu.. Ni wote tumeumia.. Mda huu nipo napoza machungu hapa nje ya uwanja na six pack zakutosha
 
Kila kitu katika mechi ya leo asilimia 99% tumeshinda isipokuwa bao moja limeingia lakini refa kaondoka nalo.

Yamepita tunajiaandaa na mchezo mwingine!
Nilikua namuamlaumu Rage kumbe alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu
 
Back
Top Bottom