Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ulitaka Kakolanya asiwe anadaka mipira hivi unajua kazi ya golikipa?Wana haki ya kushangilia droo..
Hongera sana BENO KAKOLANYA uko poa sana tena sana..
Umeonyesha uwezo mkubwa sana, lakini hapohapo umeonyesha uwezo wa beki'line yako ilivyokuwa inakutegemea wewe uokoe jahazi.
Simba iko poa sana.. Game ya 6 ligi mbichi hii..
CHAMA, MKUDE, KOTEI.. Mmewalaza viungo wale na viatu balaa.,
HAWATASAHAU!!
Haiwezekani Timu ifungwe na Mbao halafu itoe droo na YangaNawe pia huendi Mbinguni
Hapana Mkuu, wenzio wanadai Yanga haiendelei. Simba imezidi Yanga kwa lipi? Mataji gani?Historia ya marehemu 🐸🐸
Mkuu imetokea tuSiku hizi hazionyeshagi kama ziko edited ama lah,
By the way nimekuuliza ni fixed au imetokea tu?
Tatizo ukiweka tu mzigo kanji anapita naoHa ha ha,
Hapo ungekua umetia mzigo basi ni kama odds 40-50 hiv
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu daah acha Majungu[emoji23][emoji23]Hongera kwa ushindi wa kishindo
Kweli mjingawewe. Unaamini ya waganga bado? Kwa hizo billion zenu, mkawanunue wengi wacheze mechiNaona mganga wa yanga kazifuta zile mbili.bahati yao.
Achana na mimi mpuuzi usiojielewa wewe.Nilikua namuamlaumu Rage kumbe alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu
Bingwa mtetezi wa TPL?Ni bingwa mtetezi wa TPL, FA n.k
Bingwa mtetezi sawa. Baada ya hat trick ya Yanga. Tatu mfululizo. Ngumu kutokea kwa mwingineNi bingwa mtetezi wa TPL, FA n.k
Dah,Tatizo ukiweka tu mzigo kanji anapita nao
Haji ni tunda la Watalaam hao hao