Ukitaka kuamin ni lile goli alilokosa ndemla mwishoni, na goli alilokosa kapombe. Yale magoli ningeamini kama ni bahati mbaya tu kama mpira ungepigwa golini halafu beno akapangua. Kapombe kichwa kakielekeza golini ila mpira unaenda pembeeeeeni kabisaNilivyoona jamaa katoa nje nikajua mechi imeisha hii.
Wenzetu Simba madevu kasemaje?'Kama Huwezi shinda, usipigwe' - Zahera
'Wachezaji wengi walipotea sababu tulibadiri tactic, hili ni tatizo kwa Wachezaji Naona huku' - Zahera
'Mechi ya Coastal Ngassa alipotea vile tulibadiri tactic, leo Ajib na Kaseke wakapotea, mchezaji wa Duniani inatakiwa ufanye vile unaambiwa na kufanya kazi, ni kama unafanya copy' - Zahera
'Tulipanga tuwaachie mpira, inatakiwa ukimuachia mipira ukipata kimbia sana, lkn problem Ajib, Kaseke wakipata mipira wanatembea' - Zahera
'Tuliwaambia vile Simba wanacheza watajaa kati kati hivyo Tuliwaambia Ajib, Kaseke na Tshishimbi wajae Ndani wawe wanakimbia ndani na kufunga' - Zahera
'Niliwatoa Ajib na Kaseke kwa sababu walishindwa kufuata vile tumeongea na kukubaliana'- Zahera
Hapa Yanga kocha tumepata
Kucho tunae bado wachezaji watakao weza kufata haya maelekezo haya.'Kama Huwezi shinda, usipigwe' - Zahera
'Wachezaji wengi walipotea sababu tulibadiri tactic, hili ni tatizo kwa Wachezaji Naona huku' - Zahera
'Mechi ya Coastal Ngassa alipotea vile tulibadiri tactic, leo Ajib na Kaseke wakapotea, mchezaji wa Duniani inatakiwa ufanye vile unaambiwa na kufanya kazi, ni kama unafanya copy' - Zahera
'Tulipanga tuwaachie mpira, inatakiwa ukimuachia mipira ukipata kimbia sana, lkn problem Ajib, Kaseke wakipata mipira wanatembea' - Zahera
'Tuliwaambia vile Simba wanacheza watajaa kati kati hivyo Tuliwaambia Ajib, Kaseke na Tshishimbi wajae Ndani wawe wanakimbia ndani na kufunga' - Zahera
'Niliwatoa Ajib na Kaseke kwa sababu walishindwa kufuata vile tumeongea na kukubaliana'- Zahera
Hapa Yanga kocha tumepata
Huu mkocha.. Mda wake wa kufanya kazi Tanzania unahesabika
Mtu unajua mwenzio kaenda Kwa mganga kwanini we huendi?
Lazima useme hvyo ili tulete kocha mbayaHuu mkocha.. Mda wake wa kufanya kazi Tanzania unahesabika
Shukuruni hata Kwa hicho kidogo,nyie hamjui Historia ya Simba na Yanga.Timu moja hata iwe mbovu kiasi gani lakini ikifika Derby ubovu wa Timu moja Huwa hauipi guarantee Timu pinzani kushinda
Unafikiri Kakolanya alikuwa golini kama Pazia?Si unaona wamepangua magoli.
Ilitakiwa iwe simba 2-0 yanga.
Yaani nao yanga walijiwekea matumaini ya kuifunga SIMBA?
Kweli ndoto huuliwa na UHALISIA.
Sio Kila siku Jumamosi mlienda uwanjani na matokeo kilichotokea hamuamini mpaka mumeanza kuamini ushirikinaAcha dharau, hatujui historia kwani tumekuja leo hapa duniani?
Kipindi tumewafunga 5-0 mbona mlikuwa wabovu lakini tuliwafunga hivyo hivyo.
Unafikiri Kakolanya alikuwa golini kama Pazia?
Tunasikitika woteSijuhi niseme Nini Simba yangu
[emoji23]