TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

'Kama Huwezi shinda, usipigwe' - Zahera
'Wachezaji wengi walipotea sababu tulibadiri tactic, hili ni tatizo kwa Wachezaji Naona huku' - Zahera
'Mechi ya Coastal Ngassa alipotea vile tulibadiri tactic, leo Ajib na Kaseke wakapotea, mchezaji wa Duniani inatakiwa ufanye vile unaambiwa na kufanya kazi, ni kama unafanya copy' - Zahera
'Tulipanga tuwaachie mpira, inatakiwa ukimuachia mipira ukipata kimbia sana, lkn problem Ajib, Kaseke wakipata mipira wanatembea' - Zahera
'Tuliwaambia vile Simba wanacheza watajaa kati kati hivyo Tuliwaambia Ajib, Kaseke na Tshishimbi wajae Ndani wawe wanakimbia ndani na kufunga' - Zahera
'Niliwatoa Ajib na Kaseke kwa sababu walishindwa kufuata vile tumeongea na kukubaliana'- Zahera

Hapa Yanga kocha tumepata
Wenzetu Simba madevu kasemaje?
 
Kucho tunae bado wachezaji watakao weza kufata haya maelekezo haya.
Wachezaji wetu kama wataweza kufanya haya basi Yanga haita shikika.
Pia wachezaji wachukue hii kama changamoto in positive way
 
Acha dharau, hatujui historia kwani tumekuja leo hapa duniani?

Kipindi tumewafunga 5-0 mbona mlikuwa wabovu lakini tuliwafunga hivyo hivyo.
Shukuruni hata Kwa hicho kidogo,nyie hamjui Historia ya Simba na Yanga.Timu moja hata iwe mbovu kiasi gani lakini ikifika Derby ubovu wa Timu moja Huwa hauipi guarantee Timu pinzani kushinda
 
Acha dharau, hatujui historia kwani tumekuja leo hapa duniani?

Kipindi tumewafunga 5-0 mbona mlikuwa wabovu lakini tuliwafunga hivyo hivyo.
Sio Kila siku Jumamosi mlienda uwanjani na matokeo kilichotokea hamuamini mpaka mumeanza kuamini ushirikina
 
Exactly mkuu sembo unakumbuka msimu uliopita, mchezo wa kwanza ulikuwa droo

Wa pili Nyoniiiii....
[emoji23]
Yondan.jpeg
 
Back
Top Bottom