Afadhali nimepata status yako mapema mana nishapata hofu..Haitokei hata siku moja. Win or lose tupo gado. Na leo ushindi ni asubuhi tu. Msianze kutafuta wachawi
Leo ni kuwashushia kipigo ili wajue bado hawajaanza ligiHahaha.. Ni kweli Mkuu. Leo hakuna cha Ajibu, Babu Tambwe au Mama Kambo.. Wote leo wanawekwa mfukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama wanalijua hili.. Naona leo wote wamekimbia jukwaa.Leo Ninawaonea Huruma Mashabiki Wa Ndala sijui Watachomokea Wapi?
Leo Mnyama Atatafuna Vyura Vyote Pale Madimbwini.
Huo msamiati Ilikuwepo kabla ya kujikwaa kwenye Ubao.Afadhali nimepata status yako mapema mana nishapata hofu..
Ila nikuasaidie tu.. Katika misamiati yetu huku Simba SC kuanzia hivi sasa hakuna neno lose.. Ni win win tu a.k.a WWWWWWWWWW... mpaka ligi iishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sukumiiiia ndaniView attachment VID-20180930-WA0002.mp4Simba fyekelea mbalii Yanga
hahahahaa kwamba MNYAMAAA hatoacha hata chura mmojaLeo Ninawaonea Huruma Mashabiki Wa Ndala sijui Watachomokea Wapi?
Leo Mnyama Atatafuna Vyura Vyote Pale Madimbwini.
FyekaaaaSimba fyekelea mbalii Yanga
Mamamamamamamamama Hajar njoo uone huku
Kwa hii hali ya hewa hapa mjini(jua kali) matokeo yanajulikana,wazee wa kamati ya ufundi wameshashinda hii mechi
Nishapeleka taarifa za huu msiba katika vyombo vya ulinzi na usalama.. Naimani ili kupunguza maafa, zoezi la uokozi litaanza mapema.Mungu Wangu! Kwa Kikosi Hichi Ni Wazi Kuwa Maafa Yatakayo Wakuta Vyura FC Leo Hata Yale ya MV Nyerere Yatakuwa Madogo.
Kwakweli Leo Kuna Msiba Kwenye Madimbwi Ya Jangwani.