TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Haitokei hata siku moja. Win or lose tupo gado. Na leo ushindi ni asubuhi tu. Msianze kutafuta wachawi
Afadhali nimepata status yako mapema mana nishapata hofu..
Ila nikuasaidie tu.. Katika misamiati yetu huku Simba SC kuanzia hivi sasa hakuna neno lose.. Ni win win tu a.k.a WWWWWWWWWW... mpaka ligi iishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji12][emoji12][emoji12]
IMG_20180930_121131_600.jpeg
 
Mungu Wangu! Kwa Kikosi Hichi Ni Wazi Kuwa Maafa Yatakayo Wakuta Vyura FC Leo Hata Yale ya MV Nyerere Yatakuwa Madogo.
Kwakweli Leo Kuna Msiba Kwenye Madimbwi Ya Jangwani.
Nishapeleka taarifa za huu msiba katika vyombo vya ulinzi na usalama.. Naimani ili kupunguza maafa, zoezi la uokozi litaanza mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom