TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Technique ya kupaki treni na kucheza faulo 27 imefanikiwa kweli kweli
Kucheza faulo ni moja ya technique!.... Yanga mbinu zao zimefanikiwa na sasa hivi wanajiandaa kubeba ubingwa...!.. Hakuna wa kuwafikia tena njia ya ubingwa ni nyeupeee... Simba hawana mbinu za ushindi wanacheza bila malengo
 
Okwi keshakuwa Mhenga sana sasa hivi.
Foward wa kulipwa mechi sita hana goli hata moja.
Kocha wa Simba inabidi sasa aanze kuwatumia akina.
-Salamba
-Kaheza
-Rashidi Juma
Hawa ni vijana wanaweza kutusaidia mbeleni.
 
Dogo yuko vizuri sana, anaonekana ni mtu wa kazi kazi....... Asibadilike atafika mbali
 
Kucheza faulo ni moja ya technique!.... Yanga mbinu zao zimefanikiwa na sasa hivi wanajiandaa kubeba ubingwa...!.. Hakuna wa kuwafikia tena njia ya ubingwa ni nyeupeee... Simba hawana mbinu za ushindi wanacheza bila malengo
Hzo mbinu zimemfanya yanga leo ashinde?? Au ndio mbinu zilizoshindwa kumpa ushindi?
 
Nyie vyura mnashangiliaje droo? Mmejipanga humu kujipongeza wenyewe kisa droo.. mmejikatia tamaa sana
Ku a tofauti gani na nyinyi WACHAWI FC Mnao shangilia possesion...?

[emoji23][emoji23]
 
Yeye yupo pale kuokoa mpira usiingie wavuni ndo kazi yake na analipwa mshahara, dada ako huyo mtafutie teja manzese aje amsugue..
Ouk lakini aliniambia anamtaka kombaME ...sasa kwanini usimpe ndogo tuu sababu unasumbua humu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…