laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
Kucheza faulo ni moja ya technique!.... Yanga mbinu zao zimefanikiwa na sasa hivi wanajiandaa kubeba ubingwa...!.. Hakuna wa kuwafikia tena njia ya ubingwa ni nyeupeee... Simba hawana mbinu za ushindi wanacheza bila malengoTechnique ya kupaki treni na kucheza faulo 27 imefanikiwa kweli kweli