TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Tatizo unabishana
Endeleeni kushangilia droo... Huku jijini jam mmeziba njia na kuimba nyimbo sababu ya sale.
Alafu wanategemea kuongoza ligi kwa mpira ule huwezi jua kipa yupi, beki ni yupi, kiungo wala forward wote wapo golini muda wote
 
Kuwa na adabu unaongea na bingwa mtetezi, timu iliyotoa kipa bora, mfungaji bora hadi mchezaji bora
Na sisi tukianza kuzungumzia ya Bingwa wa kihistoria.....?[emoji23]
 
Hakuna mwanasimba anayeshangilia Leo. Kila mwanasimba anasikitika maana hatukutegemea haya matokeo kwa hali ya ubora tulionao.. wenzetu meno 32 yote nje... mnavua hadi nguo kushangilia sare.. kariakoo derby inapoteza mvuto
Nani alihitaji zaido sare?

Jibu usinipe mimi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…