TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Hakuna mwanasimba anayeshangilia Leo. Kila mwanasimba anasikitika maana hatukutegemea haya matokeo kwa hali ya ubora tulionao.. wenzetu meno 32 yote nje... mnavua hadi nguo kushangilia sare.. kariakoo derby inapoteza mvuto
Nani alihitaji zaido sare?

Jibu usinipe mimi...
 
Mkuu usajili 1.3 billion vs usajili wa million miambili kwani watu wasishangilie
Vile shabiki wa yanga anafurahia dro[emoji1]
FB_IMG_1538334649568.jpg
 
Back
Top Bottom