TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Uimara wa safu za ulinzi mpaka sasa
1. Simba SC kafungwa vigoli viwili tu
2. Yanga SC kafungwa magoli manne

Ikumbukwe mpaka sasa Simba SC kacheza mechi nyingi ukilinganisha na Ndala.
Wambie na kwamba yanga hajawahi poteza wala kusuluhu lakin simba kadhapapaswa na kudinywa
 
Nishapeleka taarifa za huu msiba katika vyombo vya ulinzi na usalama.. Naimani ili kupunguza maafa, zoezi la uokozi litaanza mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dhahiri shahiri serikali Leo itaingia hasara ya kununua vitu vingine uwanja wa taifa, mikia fc lazima watang'oa Vito kama kawaida yao pale makambo na tambwe watakavyo Fanya yao
 
Yakiwa yamebaki masaa kadhaa mpira uanze, wakati Simba akitoa lineup yake ya gemu ya leo tangu jogoo alipowika alfajiri.. Upande wa Ndala mpaka sasa bado.
Taarifa za ndani zinasema kuna mvutano Mkubwa katika benchi la ufundi. Kocha anataka Kindoki akae langoni huku wachezaji na baadhi ya viongozi wakipinga.

Nitaendelea kuwajuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahhahaah hicho chuo cha umbea ulikopata hiyo taaluma kipo wapi
 
Kagere amekataa kuvaa hirizi hivyo hachezi. Boko yupo nje kwa kadi. Ninja atamtoa Okwi mapema akatibiwe. Kwisney mikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…