sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
- Thread starter
- #61
Pamoja na kufanikisha muamala.. Kipigo kipo pale pale.
Kwenye picha ni Kiongozi wa Ndala akiwa na marefa watakaochezesha mechi ya leo baada ya kuhakiki meseji za muamala zimefika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye picha ni Kiongozi wa Ndala akiwa na marefa watakaochezesha mechi ya leo baada ya kuhakiki meseji za muamala zimefika.
Sent using Jamii Forums mobile app