Ni kweli Mkuu.. Ila jitahidi uwahi.. Maana ndani ya Dk. 15 baada ya kupigiwa mpira mwingi kuna hati hati Ndala wakaweka mpira kwapani.Ni kweli mechi ni saa 11?
Ila kwa mpira wa mipasho mikia fc mko vizuri, naona mmekula tuition ya nguvu toka kwa Haji ManaraNi kweli Mkuu.. Ila jitahidi uwahi.. Maana ndani ya Dk. 15 baada ya kupigiwa mpira mwingi kuna hati hati Ndala wakaweka mpira kwapani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha haya bwana.Ni kweli Mkuu.. Ila jitahidi uwahi.. Maana ndani ya Dk. 15 baada ya kupigiwa mpira mwingi kuna hati hati Ndala wakaweka mpira kwapani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafuta mtu akushikie simu yako, usije ukaipoteza tena kama siku ile kule Mwanza!!!
Wape wape wape vidonge hivyo Kaka wakimeza wakitema shauri yao.Naona mmekutana mambumbumbu mnajazana ujinga tu. Time is the best answer, subirini hiyo sa 11. Kambi Morogoro kazi uwanjani hatuna mbwembwe za uturuki wala kufuga mabeberu sisi.
Tambwe akiwakosa leo Ajib hawaachi. Usimsahau Makambo
Kagere amekataa kuvaa hirizi hivyo hachezi. Boko yupo nje kwa kadi. Ninja atamtoa Okwi mapema akatibiwe. Kwisney mikia.
Hahahaaa. Naingiaje maeneo korofi sasa Mtani wakati mpaka sasa nishakukalisha. ππππππ
Simba ni mtetezi wa VPL sio TPL noteHatimae 30/09/2018 imefika. Leo ni siku ambayo ilikua ikisubiliwa kwa hamu sana ambapo, Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC atamkaribisha Yanga SC katika dimba la Taifa Stadium.
Mechi hii inatarajia kuanza mnamo saa 11 kamili.
Update 1.
Jeshi La Maangamizo la Simba SC
Kikosi Cha Kwanza
1. Aishi Manila
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. James Kotei
7. Jonas Mkude
8. Clatous Chama
9. Meddie Kagere
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya
Kikosi Cha Akiba
1. Deogratius Munishi
2. Paul Bukaba
3. Asante Kwasi
4. Said Ndemla
5. Mo Ibrahim
6. Adam Salamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kweli kazi leo umeipata. ππππHaya ni baadhi ya magazeti 01/10/2018 baada ya mechi ya Leo.
Championi
KAGERE HASHIKIKI
- Awapangua mabeki wa yanga Kama anachambua mchele..
-Zahera amsifia, atapa kulipa kisasi February..
Mashabiki WA yanga wazimia, walazwa muhimbili na temeke.
Mwanaspoti
SIMBA GARI IMEWAKA
- Yaichakaza yanga 3:1
- Yanga watafuta mpira kwa tochi
- Kagere awa gumzo
Nipashe
TENI AGOMEA WAANDISHI WA HABARI
- Ni kufuatia kipigo cha Jana.
- Mzee Akili Mali aujia juu uongozi wa yanga.
Majira
KAGEREEEEEEEEEEE
- Avunja rekodi ya kibaden
- Apiga hat trick, yanga walia na mwamuzi.
Uhuru
SIMBA RAHA SANA
- Yacheza mpira wa majuu
- KAGERE awindwa na timu za ulaya
- Magoli yake si ya nchi hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie hao.Haitokei hata siku moja. Win or lose tupo gado. Na leo ushindi ni asubuhi tu. Msianze kutafuta wachawi
Tukutane jioni hapaLeo ndio leo asemaye kesho muongo.
Yanga Oyeeeeeeeee.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Hahahaaa. Wanachelewa hao basi.Kwa kujifariji bhana mnaongoza aisee lakin nakuomba tu usikimbie
πππππahhahaah hicho chuo cha umbea ulikopata hiyo taaluma kipo wapi
πππ usijali Mkuu.Tukutane jioni hapa
Mtani leo tupo sana hapa.Hahahaaa. Wanachelewa hao basi.
Mpira ukianza tu wanapotea. [emoji23][emoji23][emoji23]