TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Plan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
Hakuna shida ndiyo maana mikia wanaongoza
 
Simba bwana
IMG-20180930-WA0025.jpg
 
Ndio Jukumu lake hilo,mpira ukipita Kwa beki golikipa inabidi adake,ndio maana Timu hata iwe na mabeki wazuri namna gani lazima itafute golikipa mzuri pia
Tatizo unabishana
Endeleeni kushangilia droo... Huku jijini jam mmeziba njia na kuimba nyimbo sababu ya sale.
 
Acha ubishi angalia msimamo, mbao ana point 14... we jamaa unakera sana kila kitu unataka ligi.. acha hizo
haha lakini Yanga wanamechi moja mkononi ambayo watashinda na kuongoza ligi...bado Yanga ni mabingwa
 
Huyu kocha wa simba na kocha wa chelsea itakuwa wamesoma chuo kimoja,maana leo nimeiona sarriball kabsa pale uwanja wa Taifa
 
Back
Top Bottom