Mmmmh
Big up Simba mmecheza soka la kimataifa,yanga miharo imewagonga chupi Leo wakiomba mpira uishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big up Simba mmecheza soka la kimataifa,yanga miharo imewagonga chupi Leo wakiomba mpira uishe
Mbumbumbu fc bana, hakika mmeonyesha mlichofata uturuki.Hahaha.. Leo ndo tunaionesha dunia rasmi kile tulichokifata Uturuki.
Alafu huyo Ajibu, au Mama Kambo tushawaandalia ulinzi wao.. Karibuni Taifa mshuhudie Kiama Chenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba timu mbovu wanacheza hovyo bila plan ... Yanga wakimataifa wameingia na technique na wamefanikiwa!Plan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
Hakuna shida ndiyo maana mikia wanaongozaPlan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
mpira ni magoli... Yanga wameizidi Simba pointi tano.....!.... Simba hakuna kitu pale timu butu mbele yamejaa magarasa akina OkwiKwa mpira huu waliocheza yanga Leo hamna timu pale
Sasa ulitaka asidake?Kakolanya katusaidia sana ukweli usemwe tu wazi
Ligi ikiisha leo mabingwa ni Yanga..... Simba ni ya nne...Mpira bila magoli ni upuuzi mtupuNdio maana umeona kiwango uwanjani,timu kubwa km yanga wamejazana golini kwao dakika zote
Acha uwongo, ligi ikiisha Leo bingwa mbaoLigi ikiisha leo mabingwa ni Yanga..... Simba ni ya nne...Mpira bila magoli ni upuuzi mtupu
Simba kiwango kibovu ndio maana hawajafunga goli hata mojaHayo magoli hayaji tu lazima kiwango kihusike
Tatizo unabishanaNdio Jukumu lake hilo,mpira ukipita Kwa beki golikipa inabidi adake,ndio maana Timu hata iwe na mabeki wazuri namna gani lazima itafute golikipa mzuri pia
Mbao ni ya tatu wewe ..ya kwanza Yanga..pili Mtibwa ,Mbao.., inayoshika mkia ya nne ni SIMBAAcha uwongo, ligi ikiisha Leo bingwa mbao
Acha ubishi angalia msimamo, mbao ana point 14... we jamaa unakera sana kila kitu unataka ligi.. acha hizoMbao ni ya tatu wewe ..ya kwanza Yanga..pili Mtibwa ,Mbao.., inayoshika mkia ya nne ni SIMBA
Sasa ulitaka asidake?
100%Sina maneno mengi ila pongezi zangu zote ziende kwa Beno Kakolanya golikipa wa timu ya Yanga ,
Yeye ndio aliyeamua matokea ya sare kwenye derby hii iliyochezwa leo uwanja wa Taifa.
Anastahili kuwa man of the match.
View attachment 882651
Wee jamaa balaaMbao ni ya tatu wewe ..ya kwanza Yanga..pili Mtibwa ,Mbao.., inayoshika mkia ya nne ni SIMBA
Mwambie huyo wa matopeniMan of the match katangazwa Beno Kakolanya, hakika alistahili kwa jinsi alivyocheza Leo.
haha lakini Yanga wanamechi moja mkononi ambayo watashinda na kuongoza ligi...bado Yanga ni mabingwaAcha ubishi angalia msimamo, mbao ana point 14... we jamaa unakera sana kila kitu unataka ligi.. acha hizo