TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Nani alihitaji zaido sare?

Jibu usinipe mimi...
Mawazo ya kike kama haya huja mpira ukiisha,manina mwanzo hamkusema kama mwahitaji sare.Mmeshikwashikwa mkawa wet eneo zima mnabahati sana Okwi alikula vumbi la Congo ikawa nguvu kumwaga haaaaa haaaa
 
Hujui lolote kuhusu hilo. Safari hii baada ya kujitoa aliamua kukubali hoja ya Yanga.

Kipindi kile ndo alitoa hayo matusi, kama hutaki sikushikii bunduki..!
Kombe la Dunia 2018 lilichezwa lini hadi lini? Yanayoitwa mashindano ya Klabu Bingwa Africa ya Mashariki na Kati ya huyo Musonye wako ambayo Azam alitwaa ubingwa yalichezwa lini hadi lini? Wewe ndiye unajua sana kuhusu hilo, kwaheri Mjuaji!
 
Mtani waweza kuwa bingwa na mahiri wa kuchumbia au kutongoza ila (tafsida )kisha hufanikiwi kumaliza lengo. Ligi bado mbichi mmeisha poteza pwenti (points )saba
 
Kombe la Dunia 2018 lilichezwa lini hadi lini? Yanayoitwa mashindano ya Klabu Bingwa Africa ya Mashariki na Kati ya huyo Musonye wako ambayo Azam alitwaa ubingwa yalichezwa lini hadi lini? Wewe ndiye unajua sana kuhusu hilo, kwaheri Mjuaji!
Mkuu baadhi ya mambo tuache ushabiki. Nasema tena sio Kagame hii 2018. Kagame hiyo Yanga walipewa adhabu ya kufungiwa...!
 
Back
Top Bottom