TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Huyu kocha wa simba na kocha wa chelsea itakuwa wamesoma chuo kimoja,maana leo nimeiona sarriball kabsa pale uwanja wa Taifa
Ukipenda hata ukiambiwa ana kengeza utasema utasema eti ana mapoz tu
 
Hivi nyie vyura,kwani Kakolanya ana cheza timu gani na ktk nafasi gani hadi mnatokwa na povu kwa kudai eti katusaidi sana,au mlitaka nafasi ya golikipa iwe wazi?mara kulikua na kitu golini,mtasubiri sana kupata jibu kwani ghafla mshasahau yalowakuta kwa Ndanda na Mbao au wote weroga?
Ben hakuwa sababu kubwa ya Simba kutoshinda jana, ni Simba wenyewe kutokuwa makini kwenye final third. Ndemla alibaki yeye na goli akashindwa kufunga. Eneo la ufungaji linatakiwa lifanyiwe kazi sana na makocha, na hii imethibitika kwenye mechi yetu na Ndanda na Mbao.
 
Kwa record mliyokuwa nayo ya kushinda mechi zote wakati Simba wamepoteza mchezo na kutoa sare hamkutakiwa kupaki basi. Simba wajilaumu wenyewe kwa kutopata ushindi wa kirahisi. Mechi ya jana Simba wameitawala kuliko walivyocheza na timu yoyote kwenye ligi. Hii maana yake ni kuwa Yanga lazima wajitathmini.
Hata kabla ya mechi ya jana mlisema mtatufunga Saba,mmeishia kulialia dalili ya mvua ni Mawingu
 
ni aibu na fedheha tim kama yanga kushindana kutafta droo, anyway ila wana bahat sana kudadek zao. Simba ubingwa upo wazi.
IMG_20180930_192622_1.jpg
 
Na mtapigisha kwata Timu nyingi lkn mwisho wa ligi mtaishia kujisifu kuwa hata kama kombe hatujabeba lakini tumepigisha kwata.Hivi unajua kuwa tupo mbele yenu kwenye ligi licha ya kucheza mechi chache
Ligi bado mbichi sana yani kwa timu yenu mbovu Bora make kimya, mpaka sass mechi zote mmecheza taifa. Huwezi ukazungumzia ushindi wa mechi ambayo hujacheza msijipe moto na kiporo chenu
 
Kwa record mliyokuwa nayo ya kushinda mechi zote wakati Simba wamepoteza mchezo na kutoa sare hamkutakiwa kupaki basi. Simba wajilaumu wenyewe kwa kutopata ushindi wa kirahisi. Mechi ya jana Simba wameitawala kuliko walivyocheza na timu yoyote kwenye ligi. Hii maana yake ni kuwa Yanga lazima wajitathmini.
Shauri yako,sisi target yetu ilikuwa droo nyie wenye viwango target yenu ilikuwa ushindi,we ujiulize nani kafeli nani kafauli plan yake

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
Ben hakuwa sababu kubwa ya Simba kutoshinda jana, ni Simba wenyewe kutokuwa makini kwenye final third. Ndemla alibaki yeye na goli akashindwa kufunga. Eneo la ufungaji linatakiwa lifanyiwe kazi sana na makocha, na hii imethibitika kwenye mechi yetu na Ndanda na Mbao.
Simba mpaka wafungwe tena ndio watajua tatizo lao Sasa hivi Bado hawajui tatizo lao

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom