Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mna bahati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipenda hata ukiambiwa ana kengeza utasema utasema eti ana mapoz tuHuyu kocha wa simba na kocha wa chelsea itakuwa wamesoma chuo kimoja,maana leo nimeiona sarriball kabsa pale uwanja wa Taifa
Mbwa ukimjua jina hawezi kukusumbua,mikia bwanaYanga wanajua mikia ni waumini wazuri wa ushirikina,wakaamua kucheza na saikolojia ya wachezaji wenu. Kutoa mpira nje tayari mkaingiza woga mkakosa utulivu
Mtani waweza kuwa bingwa na mahiri wa kuchumbia au kutongoza ila (tafsida )kisha hufanikiwi kumaliza lengo. Ligi bado mbichi mmeisha poteza pwenti (points )saba
Ben hakuwa sababu kubwa ya Simba kutoshinda jana, ni Simba wenyewe kutokuwa makini kwenye final third. Ndemla alibaki yeye na goli akashindwa kufunga. Eneo la ufungaji linatakiwa lifanyiwe kazi sana na makocha, na hii imethibitika kwenye mechi yetu na Ndanda na Mbao.Hivi nyie vyura,kwani Kakolanya ana cheza timu gani na ktk nafasi gani hadi mnatokwa na povu kwa kudai eti katusaidi sana,au mlitaka nafasi ya golikipa iwe wazi?mara kulikua na kitu golini,mtasubiri sana kupata jibu kwani ghafla mshasahau yalowakuta kwa Ndanda na Mbao au wote weroga?
Hata kabla ya mechi ya jana mlisema mtatufunga Saba,mmeishia kulialia dalili ya mvua ni Mawingu
Droo ndo kitu cha kwnza ukiwa ugenin kam ujuiNyie vyura mnashangiliaje droo? Mmejipanga humu kujipongeza wenyewe kisa droo.. mmejikatia tamaa sana
Ligi bado mbichi sana yani kwa timu yenu mbovu Bora make kimya, mpaka sass mechi zote mmecheza taifa. Huwezi ukazungumzia ushindi wa mechi ambayo hujacheza msijipe moto na kiporo chenuNa mtapigisha kwata Timu nyingi lkn mwisho wa ligi mtaishia kujisifu kuwa hata kama kombe hatujabeba lakini tumepigisha kwata.Hivi unajua kuwa tupo mbele yenu kwenye ligi licha ya kucheza mechi chache
Malalamiko FC tumeshaanza kuzoea ngonjera zenuLigi bado mbichi sana yani kwa timu yenu mbovu Bora make kimya, mpaka sass mechi zote mmecheza taifa. Huwezi ukazungumzia ushindi wa mechi ambayo hujacheza msijipe moto na kiporo chenu
Shauri yako,sisi target yetu ilikuwa droo nyie wenye viwango target yenu ilikuwa ushindi,we ujiulize nani kafeli nani kafauli plan yakeKwa record mliyokuwa nayo ya kushinda mechi zote wakati Simba wamepoteza mchezo na kutoa sare hamkutakiwa kupaki basi. Simba wajilaumu wenyewe kwa kutopata ushindi wa kirahisi. Mechi ya jana Simba wameitawala kuliko walivyocheza na timu yoyote kwenye ligi. Hii maana yake ni kuwa Yanga lazima wajitathmini.
Simba mpaka wafungwe tena ndio watajua tatizo lao Sasa hivi Bado hawajui tatizo laoBen hakuwa sababu kubwa ya Simba kutoshinda jana, ni Simba wenyewe kutokuwa makini kwenye final third. Ndemla alibaki yeye na goli akashindwa kufunga. Eneo la ufungaji linatakiwa lifanyiwe kazi sana na makocha, na hii imethibitika kwenye mechi yetu na Ndanda na Mbao.
Pale mgeni rasmi anapoonyesha mahaba na timu fulani.Wape neno hao jamaaView attachment 882932View attachment 882935
Huyo sio mgeni rasmi.Pale mgeni rasmi anapoonyesha mahaba na timu fulani.
Usijali Chief na weye ntakuwa nakumention.Aiseee kajole nae Yanga damu
Hahahaaa. Wakikujib nitag.Shauri yako,sisi target yetu ilikuwa droo nyie wenye viwango target yenu ilikuwa ushindi,we ujiulize nani kafeli nani kafauli plan yake
Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app