Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Simba hawajawahi kuacha uchawi..!! Wanaroga hadi nje ya nchi..!! Tena huko nje ya nchi, wakawahurumia kwa kuiita uchawi wao kuwa ni tambiko hatarishi..!! Once mchawi, always mchawiNabi Nasreddine alistahiki kupata adhabu kwani hakuwa fair kwenye mchezo licha ya kuonywa kwa Kadi ya Njano.
Mambo ya kupitia milango isiyokuwa sahihi kila siku tunawalaumu Yanga sasa Simba yametoka wapi? Nani ameshauri hili jambo la hovyo..!
Yanga na Simba wote huwa wanapita milango isiyokuwa rasmi kwenye baadhi ya michezo..! Na Yanga hapo jee?Simba hawajawahi kuacha uchawi..!! Wanaroga hadi nje ya nchi..!! Tena huko nje ya nchi, wakawahurumia kwa kuiita uchawi wao kuwa ni tambiko hatarishi..!! Once mchawi, always mchawi
Simba wanaroga hadi nchi za njeYanga na Simba wote huwa wanapita milango isiyokuwa rasmi kwenye baadhi ya michezo..! Na Yanga hapo jee?
Mchawi hawezi kumjua mchawi ila mwenzake yaani..!
Wamesahau walipowarushia maji ya maiti club AfricanYanga na Simba wote huwa wanapita milango isiyokuwa rasmi kwenye baadhi ya michezo..! Na Yanga hapo jee?
Mchawi hawezi kumjua mchawi ila mwenzake yaani..!
Na tukapigwa fine..??? If not, ni uzushi tu wa kichawi kama kawaida yenuWamesahau walipowarushia maji ya maiti club African
Subirini faini ya cafNa tukapigwa fine..??? If not, ni uzushi tu wa kichawi kama kawaida yenu
Kumbe hakuna faini hadi sasa..!! Ishi kwa matumaini..!! Karibu taifa kwenye sherehe ya unbeaten mara 49Subirini faini ya caf
Ahsante nitakuja mkichukua ubingwa was AfricaKumbe hakuna faini hadi sasa..!! Ishi kwa matumaini..!! Karibu taifa kwenye shere ya unbeaten mara 49
Huu ambao nyie mnaishiaga makundi?Ahsante nitakuja mkichukua ubingwa was Africa
Hivi huwa wanazipeleka wapi hizi hela? Yaani matumizi yake yakoje, baada ya kulipwa?
Yanga ndio zaidiIzi rekodi za mambo ya kichawi apa Nchini Simba inazishikilia Kwa mda mrefu sana na Kwenye mashindano ya Caf wanatisha Kwa shirki.