TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

Yeah sikutumia simu ila uwezo wangu wa maswali kama yale ya ufahamu naamini nilifanya vizuri nitakua na 80+
80+ fikiria wingi wa bara na visiwani, labda kama una kigezo kingine cha kuitwa. Wanakata kuanzia 99 au 100 kabisa.
 
ila TRA...[emoji23]
IMG-20250425-WA0064.jpg
 
Kesho mapema nitaleta ushuhuda baada ya kupitia pdf na kuona niko selected.
Hivi oral imekaaje mkuu baada ya kufaulu written kule kila mtu anaanza upya kwamba matokeo ya ufaulu wa written haya zingatiwi tena kwenye kupata kazi au ni oral kama oral ndio itaamua hatima ya mtu baada ya usahili..?
 
Back
Top Bottom