Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,243
- 4,502
Kama umeona jina endelea na maandalizi. Emaili bla shala zitaanza kutufikia kuanzia jumatatu yaani. KeshoWataalam, kuna mtu kapata email au hio namba ya mtihani?
Kama umeona jina endelea na maandalizi. Emaili bla shala zitaanza kutufikia kuanzia jumatatu yaani. KeshoWataalam, kuna mtu kapata email au hio namba ya mtihani?
Moja nunge mpaka sasa ndio kwanza dakika ya 20Mpaka sasa bilabila
Mnaosoma mnanichanganya. Mnasoma nini haswa ata majina bado. Binafsi nikiona majina ndio ntaanza kujishughulisha hata ntaanza kutafta material ya kule ntakapo pata, niliomba sehemu tatu tofauti. Nyie someni tu. Me kwanza nilikua nasomaga siku moja kabla ya Mtihani na ilikua inanitoshaga kabisa so tusitishane na hiyo mikwara. Nyie someni tu ila huo ni woga wa mafanikio jiamini kijana. Me kuna mitihani hata nilikua sisomi kabisa, waliokua wanasomaga sana walikua wananitisha tu wengine ata GPA niliwazidi. Wapo niliiacha wanapambana na carry zao kule chuo Kifupi me najiamini sana na hakujawahi kuniangusha maana naamini uwezo wangu. Kusoma kusoma Kusoma Kutishana tishana tu. Unasoma na jina halitoki kumbaf ww kaa utulie.
Usopoteze pesa,hutaweza kujibu hata swali 1Wakuu nimechaguliwa custom assistant ll na nimesomea laboratory technician hii ikoje? Je hawatonizingua kufanya usaili?
Una search vipi kakaLink za magroup ya Whatsapp zilitumwa huko juu, search utapata.
Hizo pesa walinipa mimi ambaye ni Kishoka pale TRA mjini katiSio kwa ajira za TRA, kuna watu na pesa wametoa lakini wamekosa.!!
Kula mkuu wajinga ndio waliwao 😹Hizo pesa walinipa mimi ambaye ni Kishoka pale TRA mjini kati
Mkuu naomba msaada Kwa kada ya boat technical maswali yake kwenye written interview nikama yapiDah, sidhani kama kwa nafasi zote 1596, watawekana ndugu tu. Nyengine ni za vijana wa Kitanzania kama sisi.
Sio group ila ni link ina materialsMkuu ulipata? Kama ndio unaweza nisaidia?
Kuna bro nyakati za nyuma, alifanya poa mpaka ana kwa ana, na aka bet 5M, lakini hakupata. Jamaa akarudisha pay akamwambia Seniors walizikamia nafasi.Sio kwa ajira za TRA, kuna watu na pesa wametoa lakini wamekosa.!!
Tatizo watu wabishi hawaupendi ukweli..! Ajira za TRA ni za kuwekana nchi hii.Kuna bro nyakati za nyuma, alifanya poa mpaka ana kwa ana, na aka bet 5M, lakini hakupata. Jamaa akarudisha pay akamwambia Seniors walizikamia nafasi.
Ila kama mtu kaitwa akafanye tu part yake, lakini asiweke matarajio makubwa...ili nafsi yake iwe na amani hata akikosa
Ndiyo kuna lazima. Hayo ni majina tofautiHabari wakuu hivi jina likiwa na initial katikati mfano Kuna baadhi ya vyeti kama form 4 or 6 mfano isa juma nkuya ikawa isa J nkuya na vingine kama vya chuo na kuzaliwa ni full Isa Juma Nkuya kuna haja ya deadpoll?
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayoKula mkuu wajinga ndio waliwao 😹
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayoHabari wakuu hivi jina likiwa na initial katikati mfano Kuna baadhi ya vyeti kama form 4 or 6 mfano isa juma nkuya ikawa isa J nkuya na vingine kama vya chuo na kuzaliwa ni full Isa Juma Nkuya kuna haja ya deadpoll?