TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

Wengine wanatupigia simu tutoe hela ili tupite kwenye interview ni kweli?
 
Ajira za TRA saivi ukilipa unapitishwa au ni matapeli? Na kama hao watu wapo ni hatua gani zitachukuliwa kwa wanaofanya hivyo?
 
Ikabidi nijifanye namuomba yeye aniazime but akasema hana walianza na 400,000 ikashuka hadi 100,000 eti hiyo ni kwa wale waliosoma kwenye mazingira magumu..Jaman Kama ni kweli mtuambie tutoe hizo hela
 
Attachments

  • IMG_5219.jpeg
    IMG_5219.jpeg
    282.2 KB · Views: 35
Ikabidi nijifanye namuomba yeye aniazime but akasema hana walianza na 400,000 ikashuka hadi 100,000 eti hiyo ni kwa wale waliosoma kwenye mazingira magumu..Jaman Kama ni kweli mtuambie tutoe hizo hela
Kama ni mchongo wa kupata ajira asingekuomba 400,000, Inavyosemekana Taasisi nyingi watu wanapita kwa kutoa mzigo mrefu kama 2m+ Na kuendelea.
Hao wanaotaka 400,000 au 100,000 ni matapeli tu.
 
Ikabidi nijifanye namuomba yeye aniazime but akasema hana walianza na 400,000 ikashuka hadi 100,000 eti hiyo ni kwa wale waliosoma kwenye mazingira magumu..Jaman Kama ni kweli mtuambie tutoe hizo hela
Utatapeliwa kizembe sana
Jiandae kwa kusoma vzr tena ganya maandalizi ya mapema utapata kazi
 
Mnaosoma mnanichanganya. Mnasoma nini haswa ata majina bado. Binafsi nikiona majina ndio ntaanza kujishughulisha hata ntaanza kutafta material ya kule ntakapo pata, niliomba sehemu tatu tofauti. Nyie someni tu. Me kwanza nilikua nasomaga siku moja kabla ya Mtihani na ilikua inanitoshaga kabisa so tusitishane na hiyo mikwara. Nyie someni tu ila huo ni woga wa mafanikio jiamini kijana. Me kuna mitihani hata nilikua sisomi kabisa, waliokua wanasomaga sana walikua wananitisha tu wengine ata GPA niliwazidi. Wapo niliiacha wanapambana na carry zao kule chuo Kifupi me najiamini sana na hakujawahi kuniangusha maana naamini uwezo wangu. Kusoma kusoma Kusoma Kutishana tishana tu. Unasoma na jina halitoki kumbaf ww kaa utulie.
 
😃😂😁😃Watu wana info tayari, washajua walipochaguliwa
 
Mwenye watsap group Estate Officer II naomba link..
 
Back
Top Bottom