Warden na lab officer je?!Kwa hizo sijui kwa kweli
Heeeh kumbe! Mi nimejiombea tu hata sikuwa naelewa 🤣🤣🤣Mtaliban nakufungulia code hata hunielewi, haya
Long wait is over.....Kumekucha
Mpaka sasa bilabilaLong wait is over.....
Washatupia huko kwenye websiteMpaka sasa bilabila
Acha uongo.Washatupia huko kwenye website
BadoPDF ya shortlist ishatoka wakuu?
Majina ya "shortlist" yanasubiriwa kama matokeo ya "CSEE".PDF ya shortlist ishatoka wakuu?
Hapana mkuu, sikupataMkuu ulipata? Kama ndio unaweza nisaidia?
Tarehe 22 ndiyo inaishia hivyoHapana mkuu, sikupata
Changamoto
Cheki TRA web ,mambo tayari kitamboTarehe 22 ndiyo inaishia hivyo
Nipo hapaEngineers mbona kimya, sijasikia mining, mineral, petroleum, chemical, textile, mechanical wakiitana humu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majina ya "shortlist" yanasubiriwa kama matokeo ya "CSEE".
Naona bado hawaja anza kutuma mkuu.Wataalam, kuna mtu kapata email au hio namba ya mtihani?