TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Eeh hapo Tin ni mandatory sema kupata Tin si dakika 5 tu kwenye site yao ya Tra.
Mkuu naomba unisaidie kujua ulivyo pata TIN number maana naona kila nikiweka namba ya nida haileti majibu yoyote kwenye registration hapa.
 
Mkuu naomba unisaidie kujua ulivyo pata TIN number maana naona kila nikiweka namba ya nida haileti majibu yoyote kwenye registration hapa.
Nenda Kweny Open service button (Apply for TIN) or Click SIGN UP>Ingiza NIDA&PhoneNo.
 
ulipewa TIN namba kabisa au ulitumiwa refence namba?
maana mimi nimeomba tin wanatuma refernce namba then wanasema niende ofisi ya tra kumalizia mchakato
Hapana mkuu wamenipa Tin namba kabisa kama utambulisho wangu, wakati wa mchakato kuna nywira wana tuma hizo ukiweka wana confirm taarifa zako za nida pamoja na phone namba then mfumo una kutaka uweke nywira yako kwa ajili ya matumizi ya kuangalia account yako ya Taarifa za Tin namba mkuu. Ina maana mwisho wa mchakato utakuwa na account ya tin namba ambayo ni registered kwenye portal ya TRA.
 
Humu ndani mtu kaomba mbinu za kufaulu interview (written) ila maoni mengi ya watu yamekua tofauti na matakwa ya muhusika.

Anyways!!. Ndugu yangu Kanye2016 ili kufaulu mitihani ya kodi, Unatakiwa upitie pdf hizi hapa
 
Mi pdf hapa haijaonekana, wanaitajika na group mtu alipendekeza. Wale walimu wangeweza kuanzisha group za kufundisha na kuapata kipato
 
Kuna watu watatu nawafahamu walipata huko nilisoma nao hawana cha bibi wala babu huko TRA na walipata.Mmoja kati yao alifanya interview ya kwanza akafeli ikatoka interview nyingine akaenda ndio akafaulu sasa hivi yupo huko.Usisikilize maneno ya watu just go for it!
 
Kitu kimoja kinachonishangazaga kwenye hizi ajira ni kwamba mnaomba wengi tena wenye sifa ila chaajabu mnatemwa wote na unasikia eti nafasi zimejaa sijui hao wanaoajiriwa ni kina nani🤣🤣🤣
 
Hivi TRA salary ni sh ngapi?

Kwa hizi entry level.
 
Kitu kimoja kinachonishangazaga kwenye hizi ajira ni kwamba mnaomba wengi tena wenye sifa ila chaajabu mnatemwa wote na unasikia eti nafasi zimejaa sijui hao wanaoajiriwa ni kina nani🤣🤣🤣
Interview waliofanya last time hawakuangalia sana qualification, kama uliomba nafasi na wakakuita Interview basi wewe utafanya. Tofauti na Utumishi ambao wananyima uhuru sana kwenye Qualification.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…