TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Hivi TRA salary ni sh ngapi?

Kwa hizi entry level.
Navyoskiaga waajiriwa wapya huwa wanaanza na 1.8m before makato yoyote.
Lakini huko wengi huwa hawaishi kwa kutegemea mishaara, bali ni mirungula kwa kwenda mbele.

Unaweza ukashirikishwa kwenye dili mmoja tu wewe kidagaa ukalamba 8m wakati huo wakubwa zako wakalamba mpaka 40m huko, sasa vuta picha ukishirikishwa kwenye dili tatu za hivyo ndani ya mwezi utakumbuka hata kama una mshaaara kweli?

Kuna dogo mmoja amezaliwa mwaka 2001 yeye kaajiriwa mwaka 2023 kwenye hii taasisi na kituo chake cha kazi ni hapa hapa dar sasa hivi ananyanyua one storey contemporary house ya maana sana huko Goba.

Oya usione watu wanatolea macho hizi ajira za tra ukachukulia poa kuna maisha huko eti... japo ni dhambi tupu

Na pia ukijifanya msabato sijui haupendi rushwa unaundiwa zengwe na wenzako unafukuzwa kazi.
 
Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-

View attachment 3234281

Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.

Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.
Mmhh naona unatupotosha aisee.

Sasa Hiyo address ya kwanza inaonesha huyo commisioner general ni wa wapi ?, wa JWTZ au.
 
Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-

View attachment 3234281

Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.

Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.

haha dah we jamaa kwa hio unataka uandike tu Commissioner General? bila kutaja taasisi haupo serious
 
Attachments

  • Screenshot_20250213-074200~2.png
    Screenshot_20250213-074200~2.png
    101 KB · Views: 2
Mkuu Habari,
Kwenye recruitment portal nikiandika TIN no. na kui-save, baada ya muda haionekani,
Hii Changamoto umekutana nayo? na way foward ni ipi? Shukran.
 
Mkuu Habari,
Kwenye recruitment portal nikiandika TIN no. na kui-save, baada ya muda haionekani,
Hii Changamoto umekutana nayo? na way foward ni ipi? Shukran.
Ni kweli mkuu naona inakuwa hivyo ata sijui tatizo kitu gani lakini haikai pale ina ondoka.
 
Changamoto sana kaka.

Ulichukua hatua gani so far?
Mkuu tatizo kama hilo la kimfumo unafikir tuna njia gani nyingine zaid ya kutafuta solution kama hivi ya sisi job seekers kuulizana ufumbuzi kwa wenzetu pengine tutapata jibu sahihi le tatizo hilo kama tuache kujaza au laa, maana ukipiga sim hawapokei mtihani unaanzia hapo.
 
Hivi kwa mfano ulikua ushaapply,ukaja ukafanya marekebisho pale pa qualifications ukafuta pote ukajaza upya details na kuweka vyeti upya, kuna madhara yoyote?
 
Kijana, soma vizuri maelezo pia ukiingia kwenye website yao angalia vizuri bila kukurupuka.

Maelezo yapo kwenye Home page kabisa pale kijana.

kijana wewe ndo hujaelewa hiyo statement hawajakuambia weka kwenye PDF moja but umeambiwa attachment zako zote ziwe katika PDF

mkuu hujaelewa hii kauli ,wamemaanisha attachment zote ziwe katika PDF na si kwamba uweke katika PDF moja
 
Hivi kwa mfano ulikua ushaapply,ukaja ukafanya marekebisho pale pa qualifications ukafuta pote ukajaza upya details na kuweka vyeti upya, kuna madhara yoyote?
unarekebisha tu mkuu
kuna sehemu ya kuedit,ukishafanya marekebisho una update
 
Hivi T.R.A na wawo huwa wanaweka watu Data base ??? ...
Maana kila nikifikiria issue ya data base naona kabisa kupata hizi nafasi itakuwa kazi sana
 
kijana wewe ndo hujaelewa hiyo statement hawajakuambia weka kwenye PDF moja but umeambiwa attachment zako zote ziwe katika PDF

mkuu hujaelewa hii kauli ,wamemaanisha attachment zote ziwe katika PDF na si kwamba uweke katika PDF moja
Mkuu wewe ndo hujaelewa, Mimi nimemaanisha Transcript na Cheti ndo vikae kwenye PDF moja na sio Vyeti vyote.

Kama Una degree weka Cheti chake na Transcript zake pamoja.

Kama una diploma weka cheti chake na transcript pamoja.

Birth Certificate unaweka pekeyake n.k.
 
Kanye2016 Hapa transcript ipo wapi?
Hapo huezi kuiona, Transcript inaendana na cheti chako. Ukiwa na cheti cha degree au diploma lazima uwe na transcript yake.
Ndo unaviweka pamoja unapochagua Degree au Diploma au Certificate level.
 
haha dah we jamaa kwa hio unataka uandike tu Commissioner General? bila kutaja taasisi haupo serious
Fata sheria bila shuruti. Fata maelekezo kama yalivyotolewa. Hapo ukiamua kuweka taasisi ni maamuzi yako Mkuu.
 
Back
Top Bottom