TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Mmhh naona unatupotosha aisee.

Sasa Hiyo address ya kwanza inaonesha huyo commisioner general ni wa wapi ?, wa JWTZ au.
Mkuu sisi wengine tunafata maelekezo kama yalivyokuja.
Kama wewe unaona wamekosea andika Taasisi. Ila inaweza kuwa ni mtego huo.
Cha muhimu always ni kufata maelekezo kama yalivyotolewa.
 
Kwangu mimi option iliyopo ni hii ya single PDF za vyeti,hiyo option ya kuweka cheti kimoja kimoja haipo.
Mkuu angalia vizuri, kwenye Qualification pale kama umemaliza Form 4 wanataka uweke cheti chake, na ukienda kwenye qualification ya form six nayo wanataka uweke cheti chake na diploma/degree process ni hivyo hivyo.
 
Kipengele namba 11 kinakataa ku attach transcript na results slip
Kipengele namba 11 kinakataza Partial transcript tu.

Kipengele namba 10 b) kinataka uweke transcript (Hapa wanamaanisha full kama umemaliza course yoyote ile)
 
Wakuu msaada Kwa aliemaliza kuapply ni kwel Transcript tuna attach na cheti Cha chuo as a single pdf document wakat wa kuupload cheti Cha chuo?
Huenda watu wengi hatujaelewa hiki kipengele cha Transcript, ila kwenye tangazo lao la kazi kipengele namba 10 nenda kakisome halafu wewe mwenyewe fanya maamuzi.
 
Huenda watu wengi hatujaelewa hiki kipengele cha Transcript, ila kwenye tangazo lao la kazi kipengele namba 10 nenda kakisome halafu wewe mwenyewe fanya maamuzi.
Mkuu unapotosha, transcript ni kwa ambao hawana vyeti (hii ni options kwa wanachuo ambao wamemaliza ila vyeti havijatoka) na pale wasingeweza kueleza sababu kwa common sense ya darasa la saba C huwezi kuchanganya hivyo vitu viwili sehemu moja
 
Hivi T.R.A na wawo huwa wanaweka watu Data base ??? ...
Maana kila nikifikiria issue ya data base naona kabisa kupata hizi nafasi itakuwa kazi sana
Hawana data base mkuu, ikienda imeenda kikubwa kila hatua dua tu
Mkuu unapotosha, transcript ni kwa ambao hawana vyeti (hii ni options kwa wanachuo ambao wamemaliza ila vyeti havijatoka) na pale wasingeweza kueleza sababu kwa common sense ya darasa la saba C huwezi kuchanganya hivyo vitu viwili sehemu moja
Asie kuwa na vyeti huyo Tayari hana sifa za kuomba hizo ajira mkuu, tambua hakuna options za kumfavour mtu eti sababu akiwa hana cheti basi atumie substitute nyingine kama kigezo hiyo hakuna, ukweli ni kwamba wenye sifa kamili zote kama requirements zinavyo elekeza hao ndio wataitwa kwenye usahili na sio kitu kingine..🤗 swala la transcripts zitakaa vp kwenye cheti hilo ni jukum la job seeker mwenyewe kuamua kusuka au kunyoa kwa hatma ya maisha yake lakini jamaa wana taka vitu vyote cheti na transcripts..🤔 tena viwe certified kisheria.
 
Mkuu unapotosha, transcript ni kwa ambao hawana vyeti (hii ni options kwa wanachuo ambao wamemaliza ila vyeti havijatoka) na pale wasingeweza kueleza sababu kwa common sense ya darasa la saba C huwezi kuchanganya hivyo vitu viwili sehemu moja
Hakuna taasisi ya umma siku hizi inaajiri kwa kutumia transcript.huna cheti hata interview huitwi
 
wewe mb
Kijana, soma vizuri maelezo pia ukiingia kwenye website yao angalia vizuri bila kukurupuka.

Maelezo yapo kwenye Home page kabisa pale kijana.

View attachment 3234462
ona unadanganya watu hapo amesema bonyeza sehem ya apply now wakat wa kuomba na uhakikishe unaweka vyeti vyakobkwenye mfumo wa pdf mkuu acha kukurupuka
 
wewe mb

ona unadanganya watu hapo amesema bonyeza sehem ya apply now wakat wa kuomba na uhakikishe unaweka vyeti vyakobkwenye mfumo wa pdf mkuu acha kukurupuka
Transcript (10 b) inawekwa sehemu ipi mkuu?
 
Wakuu msaada.

Kila nikisave personal details nakuta TIN namba haipo.

Kwenye sehemu ya attachment, document type naona maneno "select" na "applicant birth" tu, CV, Cover letter na qualifications havipo akati kwenye attachment type wanataka niviweke.

na kipengele cha qualification, "attachment type" hapafunguki.

Msaada
 
😹😹😹 Labda ajira za ZRA ila km TRA narudia tena atajichosha..!
Wewe unafananisha miaka yako ya enzi ya mwalimu na ajira za ss hivi..!
Na kuprove Hilo
Wameng'ang'ana kutangaza Ajira kwenye portal yao ili wajimwayemwaye kupeana connection
Hawataki ajira Portal ihusike
 
wewe mb

ona unadanganya watu hapo amesema bonyeza sehem ya apply now wakat wa kuomba na uhakikishe unaweka vyeti vyakobkwenye mfumo wa pdf mkuu acha kukurupuka
Sijaelewa ulichokiandika
 
Mkuu Habari,
Kwenye recruitment portal nikiandika TIN no. na kui-save, baada ya muda haionekani,
Hii Changamoto umekutana nayo? na way foward ni ipi? Shukran.
Hauandiki hio inakuja yenyewe automatically saved kwenye mfumo km zilivyo taarifa zako za NIDA zinakuja na picha yako moja kwa moja
 
Hauandiki hio inakuja yenyewe automatically saved kwenye mfumo km zilivyo taarifa zako za NIDA zinakuja na picha yako moja kwa moja
Mkuu ww kwako ilikuja yenyewe bila kundika au..? Na mbona inaondoka haikai pale.?
 
Wakuu msaada.

Kila nikisave personal details nakuta TIN namba haipo.

Kwenye sehemu ya attachment, document type naona maneno "select" na "applicant birth" tu, CV, Cover letter na qualifications havipo akati kwenye attachment type wanataka niviweke.

na kipengele cha qualification, "attachment type" hapafunguki.

Msaada
Kanye2016
Mwifwa
 
Back
Top Bottom