TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Mkuu sisi wengine tunafata maelekezo kama yalivyokuja.
Kama wewe unaona wamekosea andika Taasisi. Ila inaweza kuwa ni mtego huo.
Cha muhimu always ni kufata maelekezo kama yalivyotolewa.
Wewe unahisi kwanini kwny address hawajaweka jina la taasisi?
 
Habari wadau, hivi kujaza kipengele cha Experience ni lazima? Kwenye portal ya TRA?
 
Huko TRA wanahitaji picha Ile passport size sijui kama ile ajira port?

Semaji la Majobless Promax
 
yes inakuja automatic kwenye personal yako unachoandika ni namba yako yasim na nambayako ya mtihani wa form four mtaa nadhani
Nilichogundua kwa sisi ambao TIN haionekani na ukjjaza ukasave huikuti. Ni kwamba TIN zetu hazijaungwa na NIDA. Kuna kipengele nimeona kwenye webite ya TRA tax portal unaweza kuunganisha TIN na nida yako.

St Athan
Perrez Amanaya7
 
Mtu ukiview profile yako kule mwisho GPA point inaniandikia 0.00 hapa inakuaje wakuu?
 
Mkuu ww kwako ilikuja yenyewe bila kundika au..? Na mbona inaondoka haikai pale.?
Ebwana Mkuu, wewe zoezi lako limeenda poa!? Maana mimi pale kwenye Qualifications, kuna kibox cha kujaza "start date" mwaka niliojaza nikija mwishoni kabisa ku_save , system inaniletea "insert valid start date" . Hapo panaendaje!?
 
Nimetupia tatu,watanichagulia wenyewe moja huko
SAmahani, kwenye Qualification, qualification start date inakuaje, maana mwaka naouweka system inakataa na kuniambia "insert valid start date".
 
Back
Top Bottom