TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

yes inakuja automatic kwenye personal yako unachoandika ni namba yako yasim na nambayako ya mtihani wa form four mtaa nadhani
Naona imekubali shu
Mkuu wapigie simu. Mimi nimewapigia nikawaeleza, wamesolve hiyo inshu kwangu. Sasaivi TIN inaimkuu naona imesha kaa kwasasa nashukuru kwakweli..🙏
Ndio mkuu Nashukuru naona imekaa kwasasa..🙏
 
Dah aseee mbona mm vyeti sijavicertify na nimeshatuma mambo...Aseee imeniuma sana hii
Nenda ka certify halafu wapigie TRA waeleze wakusaidie chap. Namba zao zipo kwenye Tangazo la ajira. Pambana kijana mpaka kieleweke.
 
Hivi ukishaaply nafasi moja huwezi kulog in tena kwenye hiyo recruitment portal ya TRA?
 
Nenda ka certify halafu wapigie TRA waeleze wakusaidie chap. Namba zao zipo kwenye Tangazo la ajira. Pambana kijana mpaka kieleweke.
Mfumo wao wa kidwanzi sana wameficha sehemu ya ku edit ili uweke vyeti upya duu
unaweza ku edit taarifa zingine ila vyeti uhoni,tofauti na ajira portal
 
Mbona system ya tra kwenye kuomba hizi nafasi inasumbua sana aisee toka juzi najaribu lakini haikubali kabsa mwenye msaada anisaidie
Vuta subira, server ya TRA inazidiwa kwa sababu ya internet Traffic watu wengi wana apply...ukitaka uipatie anza mida ya saa 8,9,10 usiku hadi saa 1 hivi network inakuwa imetulia, watu wakianza kuingia makazini saa 2 na wengine kuamka msongamano unaanza mtandao unakuwa mzito
 
Kuna watu watatu nawafahamu walipata huko nilisoma nao hawana cha bibi wala babu huko TRA na walipata.Mmoja kati yao alifanya interview ya kwanza akafeli ikatoka interview nyingine akaenda ndio akafaulu sasa hivi yupo huko.Usisikilize maneno ya watu just go for it!
Hakika
 
Jmn alokutana na changamoto ya kuambiwa "inter a valid qualification start date" kwenye qualifications umetatuaje?
 
Back
Top Bottom