TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Wakuu, ukiwa na cheti cha chuo ambacho kimekuwa certified, kuna ulazima wa kucertify na Transcript pia?
 
Yaani TRA weee acha kabisa, walimu ndiyo mtaona intavyuu za wenzenu zilivyo lakini hawalalamiki km nyie.
Walimu wananishangaza sana, nishawah kufanya mtihani wa E-government, nikatembe mpaka oral tukabaki wawili tukaexchange namba lakin sio yeye wala mimi alieitwa kazini ingekuwa hawa walimu si wangejinypnga?. Wangekuwa wanafanya mitihani ya programming kama yetu ile si wangejamba Cheche ?....
 
Mwenye sample ya Cover letter asaidie hapa.

Naona wengi watatuma kama Application Letter.

Kwa ninavyojua Cover Letter ina utofauti kidogo na application letter. Au wataalam mnasemaje?
 
Wewe deadline ni kesho watazima server leo jion shauri yako, we badala ufanye application unahangaika na cover letter jf....
Mr sorry nhataji kuuliza kitu ikiwa cover letter uliandika then ukaapply job , later on ukagundua kuwa kwenye anwani ya inakoenda barua umechanganya kipengele cha 1 na cha 2 ikabibid kucorrect na ku updates upya wakaandika successfkl updated but document ikabak ileile ya mwanzo ,je, hizo information znakuw kwel updated?
 
Yes man..
 
Kama umeapply vizuri anza kupiga msuli
 
Last time walioomba nying walikua na access Kubwa ya kuitwa kuliko Tulioomba moja...mim na rafiki zangu tilioombaga moja karbu wote tulikatwa .....
Yani ukatwe sababu uliomba kazi moja..!, kwamba anae omba Kazi nyingi ndio ana vigezo kuliko aliomba nafasi moja..!, ukweli utabaki pale pale kuna sehem ulichemka wakati wakati wa kuomba hizo kazi, na wao pengine walikidhi vigezo vyote vya hizo kazi kuliko wewe ulie omba Kazi moja.
 
Mr sorry nhataji kuuliza kitu ikiwa cover letter uliandika then ukaapply job , later on ukagundua kuwa kwenye anwani ya inakoenda barua umechanganya kipengele cha 1 na cha 2 ikabibid kucorrect na ku updates upya wakaandika successfkl updated but document ikabak ileile ya mwanzo ,je, hizo information znakuw kwel updated?
Ifute hiyo inayoonekana yaani bonyeza pale kwenye kile kialama cha X hiyo ya zamani itatoka utaiona mpya tayari ishaupload usiziache zote mbili.
 
Shukran sana asee, walipo andika successful updated huku bado ya zaman ipo nkadhan done,,, nimefuta ikawa inarud ya zamani nmefuta na kufuta tena nkaupload tena,,,mwishoe imetokea hii mpya nliyoweka ,,, ila nashukuru sana
 
Back
Top Bottom