TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Kwamba baada ya kuapply deadline imefika wote mmempotea ndugu zanguni?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Njooni ndugu tudiscuss maswali ya interview jamani sisi ni ndugu moya kabisa msitufanyie hivyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sielewi kwanini mnambishia jamaa kuhusu kuweka cheti na transcript pamoja ni kitu easy tu kama maelezo yalivyosema... weka cheti, weka transcript. Well kuna nafasi moja tu ya kuweka cheti, jiongeze MERGE cheti na transcript weka kama pdf moja tulia. Cheti na transcript ni gari na matairi
 
Kwa kuwa Mimi ndo warden ndo mmeamua kuniachia huu uzi Pele yangu njooni wazeee ๐Ÿ˜‚
 
Kumbe!! Me nilifahamu labda chuo cha ITA
Hao ITA kuna kipindi walikua wanapewa hiyo tender wakawa wanaleakisha mitihani kwa wahitimu wao.tra wakaanza kuwatumia NBAA,udsm na mzumbe.
 
Hao ITA kuna kipindi walikua wanapewa hiyo tender wakawa wanaleakisha mitihani kwa wahitimu wao.tra wakaanza kuwatumia NBAA,udsm na mzumbe.
Yaani hawaaminiani wenyewe kwa wenyewe..Maana kwenye hiz ajira kuna wengine wanaenda kufanya kazi kwenye hiki chuo kama Tutorial na lecturers
 
Mwenye link ya WhatsApp kwa post ya Internal Affairs Officer II naiomba tafadhali
 
Mwenye link ya WhatsApp kwa post ya Internal Affairs Officer II naiomba tafadhume
Mwenye link ya WhatsApp kwa post ya Internal Affairs Officer II naiomba tafadhali
Mkuu umepitia JKT? Una uhakika vetting ikifanyika upo clean? I know this post na mtu wanae mhitaji, kimsingi hawa ndio moyo wa mamlaka, "Kwanini hujakopa na unajenga ghorofa"
 
Sijapita JKT lakini pia kigezo Cha JKT sijakiona mwenye tangazo la kazi
 
Back
Top Bottom