DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Una maanisha kila anayeomba na ana sifa za hiyo kazi anaitwa kwa interview?Kama umeapply vizuri anza kupiga msuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha kila anayeomba na ana sifa za hiyo kazi anaitwa kwa interview?Kama umeapply vizuri anza kupiga msuli
Ina maana kila anayeomba anaitwa kwa interview?Link hizo Sasa tujiungeni Ili discussion zifanyike
Hello, kwa wale wa Tax Management Assistant tujiungeni kwenye hili group Ili mambo yaendelee ya kudiscuss.
![]()
Yeah that's what the inside guy told me usikosee tu kufuata mashartiUna maanisha kila anayeomba na ana sifa za hiyo kazi anaitwa kwa interview?
Nimeona course ya Uhasibu wanafit sehemu 3 mpaka 4.Yeah that's what the inside guy told me usikosee tu kufuata masharti
Apply tu zote masta, mambo ya employment Tanzania yamekuwa vita kali sana, apply zoteNimeona course ya Uhasibu wanafit sehemu 3 mpaka 4.
Kabisa 😂 😂 😂Apply tu zote masta, mambo ya employment Tanzania yamekuwa vita kali sana, apply zote
Ni nomaKabisa 😂 😂 😂
Mtajijualeo ilikuwa lazma mtandao ujam
Mbona makasiriko jamaniMtajijua
Kuna watu mnastahili tuzo ya zimamoto 😂😂wakuu nimekwama kwenye ku create acc nikiingiza taarifa zangu inanambia enter passcode verification ambayo siipati kwa sms wala kwa email nombeni mwenye kujua
Kwamba Kuna watu mpk yabaki masaa ya deadline 😂 .... Usikute jamaa hakuna na taarifa mkuu 😂Kuna watu mnastahili tuzo ya zimamoto 😂😂
Amen mkuuBinafsi napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Kila Kheri wadau wote wa humu jukwaani ambao mmefanikiwa kufanya application kwa mafanikio. Baraka za Mungu ziwe juu yenu mfanikiwe kwenye maombi yenu.
Ukilipata, nami nishtue mkuuHabari wakuu
Mwenye link ya Group la Risk Officer Tafadhali naiomba
Risk Officer II TRA link ya Risk Officer 2Ukilipata, nami nishtue mkuu