Navyoskiaga waajiriwa wapya huwa wanaanza na 1.8m before makato yoyote.Hivi TRA salary ni sh ngapi?
Kwa hizi entry level.
Lakini huko wengi huwa hawaishi kwa kutegemea mishaara, bali ni mirungula kwa kwenda mbele.
Unaweza ukashirikishwa kwenye dili mmoja tu wewe kidagaa ukalamba 8m wakati huo wakubwa zako wakalamba mpaka 40m huko, sasa vuta picha ukishirikishwa kwenye dili tatu za hivyo ndani ya mwezi utakumbuka hata kama una mshaaara kweli?
Kuna dogo mmoja amezaliwa mwaka 2001 yeye kaajiriwa mwaka 2023 kwenye hii taasisi na kituo chake cha kazi ni hapa hapa dar sasa hivi ananyanyua one storey contemporary house ya maana sana huko Goba.
Oya usione watu wanatolea macho hizi ajira za tra ukachukulia poa kuna maisha huko eti... japo ni dhambi tupu
Na pia ukijifanya msabato sijui haupendi rushwa unaundiwa zengwe na wenzako unafukuzwa kazi.