Mkuu ulipata? Kama ndio unaweza nisaidia?Wakuu naulizia mwenye Link ya group la TRANSPORT OFFICERS (T.O's) kama lipo aweke link hapa
Nazitanguliza shukrani zangu
Kama ni mchongo wa kupata ajira asingekuomba 400,000, Inavyosemekana Taasisi nyingi watu wanapita kwa kutoa mzigo mrefu kama 2m+ Na kuendelea.Ikabidi nijifanye namuomba yeye aniazime but akasema hana walianza na 400,000 ikashuka hadi 100,000 eti hiyo ni kwa wale waliosoma kwenye mazingira magumu..Jaman Kama ni kweli mtuambie tutoe hizo hela
Utatapeliwa kizembe sanaIkabidi nijifanye namuomba yeye aniazime but akasema hana walianza na 400,000 ikashuka hadi 100,000 eti hiyo ni kwa wale waliosoma kwenye mazingira magumu..Jaman Kama ni kweli mtuambie tutoe hizo hela