lazima kuwambia hawa watu wajue kuwa wanatumia sheria vibaya kuumiza waagiza na walaji wa bidhaa. na hii inafanyika wakijua kuwa sisi ni import country. Kwingine wanafanya ingawa si kwa kiwago hichi kulinda viwanda vyao-sisi hapa tunalinda nini?Bado kuna port charges, shipping line charges, wharfage, clearing Agent charges, local transport charges NK.
Hapana umekosea mdau yupo sahihi kodi jumla 67.23%.Mkuu na hiyo ni kubwa kuliko 25% +10% +18% = 53%
Kama unaumia au la wao haiwahusu. Lengo lao ni kuvunja rekodi ya makusanyo kila mwezilazima kuwambia hawa watu wajue kuwa wanatumia sheria vibaya kuumiza waagiza na walaji wa bidhaa. na hii inafanyika wakijua kuwa sisi ni import country. Kwingine wanafanya ingawa si kwa kiwago hichi kulinda viwanda vyao-sisi hapa tunalinda nini?
Naelewa- na mimi nadhani compounding ni wizi hivyo nikasema mtu atozwe 25 +10+18 = 53% kwenye thamani ya forodha.Hapana umekosea mdau yupo sahihi kodi jumla 67.23%.
Usijumlishe asilimia kama ulivyofanya sababu kanuni yao ni composite function.
Yaani baada ya kukotoa 25% jibu lake unalitumia kama input ya kukokotoa 10% kisha jibu lake unalitumia kwenye kutafuta 18%. Hiyo ngoma ipo na layers kadhaa.
HatariKwa calculation hizo lazima wajisifu wamevuka lengo, ni zaidi ya ujambazi
Mkuu ndicho wanachofanya ILA ni siyo sawa na lazima tupige kelele mpaka watueleweHizo hesabu zina walakini, ndio maana muhimu kusoma hizo sheria wanazotumia. Sidhani kama hesabu za kodi za ivyo popote duniani zaidi ya Tanzania.
Yaani thamani ya kitu unaiongeza mwenyewe hadi kufikia VAT ni balaa.
Hapa ni kupata sheria wanazotumia, hizo hesabu hazipo sawa.Mkuu ndicho wanachofanya ILA ni siyo sawa na lazima tupige kelele mpaka watuelewe
Kodi za Bongo kweli ni umiza kichwa. Yaani unalipia kodi kwenye usafirishaji na bima ya mzigo wako. Je kama silipii bima mzigo wangu inakuwaje!?Sasa hapo kuna brain gani masta.
Mzigo wa mil 40.. tax 26 M
Bado akiwa dukani alipe VAT, Income tax, SDE, PAYEE etc...
Killing all possibility of making our economy a success
hivi tunaweza linganisha nchi nyingine za jirani wao formula yao ikoje?Hapana umekosea mdau yupo sahihi kodi jumla 67.23%.
Usijumlishe asilimia kama ulivyofanya sababu kanuni yao ni composite function.
Yaani baada ya kukotoa 25% jibu lake unalitumia kama input ya kukokotoa 10% kisha jibu lake unalitumia kwenye kutafuta 18%. Hiyo ngoma ipo na layers kadhaa.
VAT hatolipa ,labda kukusanya.Sasa hapo kuna brain gani masta.
Mzigo wa mil 40.. tax 26 M
Bado akiwa dukani alipe VAT, Income tax, SDE, PAYEE etc...
Killing all possibility of making our economy a success
How import duty is calculated in Kenya?hivi tunaweza linganisha nchi nyingine za jirani wao formula yao ikoje?
Au sio... unakusanya kutoka kwa wateja wap hao..VAT hatolipa ,labda kukusanya.
SanaHatari
Tena sanaHatari