TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

Bado kuna port charges, shipping line charges, wharfage, clearing Agent charges, local transport charges NK.
lazima kuwambia hawa watu wajue kuwa wanatumia sheria vibaya kuumiza waagiza na walaji wa bidhaa. na hii inafanyika wakijua kuwa sisi ni import country. Kwingine wanafanya ingawa si kwa kiwago hichi kulinda viwanda vyao-sisi hapa tunalinda nini?
 
Mkuu na hiyo ni kubwa kuliko 25% +10% +18% = 53%
Hapana umekosea mdau yupo sahihi kodi jumla 67.23%.
Usijumlishe asilimia kama ulivyofanya sababu kanuni yao ni composite function.
Yaani baada ya kukotoa 25% jibu lake unalitumia kama input ya kukokotoa 10% kisha jibu lake unalitumia kwenye kutafuta 18%. Hiyo ngoma ipo na layers kadhaa.
 
lazima kuwambia hawa watu wajue kuwa wanatumia sheria vibaya kuumiza waagiza na walaji wa bidhaa. na hii inafanyika wakijua kuwa sisi ni import country. Kwingine wanafanya ingawa si kwa kiwago hichi kulinda viwanda vyao-sisi hapa tunalinda nini?
Kama unaumia au la wao haiwahusu. Lengo lao ni kuvunja rekodi ya makusanyo kila mwezi
 
Hapana umekosea mdau yupo sahihi kodi jumla 67.23%.
Usijumlishe asilimia kama ulivyofanya sababu kanuni yao ni composite function.
Yaani baada ya kukotoa 25% jibu lake unalitumia kama input ya kukokotoa 10% kisha jibu lake unalitumia kwenye kutafuta 18%. Hiyo ngoma ipo na layers kadhaa.
Naelewa- na mimi nadhani compounding ni wizi hivyo nikasema mtu atozwe 25 +10+18 = 53% kwenye thamani ya forodha.
La pili ni upi msingi wa kuongeza bima na ghrama za usafirishaji kwenye thamani ya forodha- kwa mfanya biashara kuna mantiki kwani lazima ghrama za kuagiza ziingizwe kwenye thamni ya bidhaa- ila mantiki hiyo siioni kwa TRA
 
Hizo hesabu zina walakini, ndio maana muhimu kusoma hizo sheria wanazotumia. Sidhani kama hesabu za kodi za ivyo popote duniani zaidi ya Tanzania.

Yaani thamani ya kitu unaiongeza mwenyewe hadi kufikia VAT ni balaa.
 
Mkuu ndicho wanachofanya ILA ni siyo sawa na lazima tupige kelele mpaka watuelewe
 
Sasa hapo kuna brain gani masta.

Mzigo wa mil 40.. tax 26 M
Bado akiwa dukani alipe VAT, Income tax, SDE, PAYEE etc...
Killing all possibility of making our economy a success
Kodi za Bongo kweli ni umiza kichwa. Yaani unalipia kodi kwenye usafirishaji na bima ya mzigo wako. Je kama silipii bima mzigo wangu inakuwaje!?
 
Price water company wana maelezo ya kodi vizuri kushinda TRA.

Ndio maana hizi kodi huwa zinawaumiza watanzania hasa wafanyabiashara wadogo na wa kati.

Yaani kwanza kuna bidhaa luluki zina exempt ya import duties and other levies.
 
Hapana umekosea mdau yupo sahihi kodi jumla 67.23%.
Usijumlishe asilimia kama ulivyofanya sababu kanuni yao ni composite function.
Yaani baada ya kukotoa 25% jibu lake unalitumia kama input ya kukokotoa 10% kisha jibu lake unalitumia kwenye kutafuta 18%. Hiyo ngoma ipo na layers kadhaa.
hivi tunaweza linganisha nchi nyingine za jirani wao formula yao ikoje?
 
Sasa hapo kuna brain gani masta.

Mzigo wa mil 40.. tax 26 M
Bado akiwa dukani alipe VAT, Income tax, SDE, PAYEE etc...
Killing all possibility of making our economy a success
VAT hatolipa ,labda kukusanya.
 
hivi tunaweza linganisha nchi nyingine za jirani wao formula yao ikoje?
How import duty is calculated in Kenya?

Import Duty is 25% of the Customs Value. Excise Duty is 20% of the Customs Value + Import Duty. VAT is 16% of the Customs Value + Import Duty + Excise Duty. IDF Fee 3.5% of the Customs Value.
nao ya yale yale
 
How Is Car Duty Calculated In Kenya?​

The Current Retail Selling Price (CRSP) of your vehicle is provided by the KRA. The KRA compares the CRSP value and the actual invoice value of the car and uses the higher of the two. Customs value is then calculated by applying the depreciation to the CRSP value. The excise duty, import duty, VAT and the IDF Fee are all calculated from the customs value.

This calculation is as follows:

KRA provide the current Retail Selling Price (CRSP) for your vehicle.

Customs Value is the CRSP value with depreciation applied.

Import Duty is 25% of the Customs Value.

Excise Duty is 20% of the Customs Value + Import Duty.

VAT is 16% of the Customs Value + Import Duty + Excise Duty.

IDF Fee 3.5% of the Customs Value.

RDL Fee is 2% of the Customs Value.
 
Back
Top Bottom