comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Thread starter
- #21
lazima kuwambia hawa watu wajue kuwa wanatumia sheria vibaya kuumiza waagiza na walaji wa bidhaa. na hii inafanyika wakijua kuwa sisi ni import country. Kwingine wanafanya ingawa si kwa kiwago hichi kulinda viwanda vyao-sisi hapa tunalinda nini?Bado kuna port charges, shipping line charges, wharfage, clearing Agent charges, local transport charges NK.