DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sio kuwasingizia Wahindi au Wachina mbona hata maduka ya Wabongo hali ni hiyohiyo.

Sisi huwa tunajifanya Malaika mabaya yote yanafanywa Watu wa Jamii zingine.
Sasa wakwetu wanafanya ila it's better pesa zinabaki haphapa bongo sasa wenzetu. Wanaenda kununua apartment Canada na Singapore
 
Mbona simple tu mkuu?

Ungelipa 230,000/= upewe na receipt yako kuna ubaya gani hapo?
Sas kwani atangaze kuwa Kama unataka pungufuq atafanya hvyo ila risit Ni pungufu nin motive behind
 
Hpn mkuu mm siyo muumin San wa Mali nyingi nipate kula na kutibiwa tu na pa kulala pa kawaida Basi mm Niko sawaa
Hahah kaka hela haitoshagi ukishapata vyote hivyo utatamani uwe na nyumba za kupanga na uwe na gari nyingine ya kutembelea.
 
Hahah kaka hela haitoshagi ukishapata vyote hivyo utatamani uwe na nyumba za kupanga na uwe na gari nyingine ya kutembelea.
Hpn mkuu taifa hili Bado Ni change Kia's Cha mm kutaka kudidimiza au kuishi kifahari kwa kuumiza wengine hpn
 
Kweli kabsaaa Mama kasharuhusu upigaji jamaa analia lia tu
Ajaruhusu ukwepaji Kodi .anweza kuwa amelewaka vibaya na watz wengi hajasema kwamab kula kadri ya uwezo wako ...

Ila Ni kwamba vyombo hatuna Nani wakutupa kiongoz Kama magufuli Tena mzalendo wa kweli
 
Mk
Sio kuwasingizia Wahindi au Wachina mbona hata maduka ya Wabongo hali ni hiyohiyo.

Sisi huwa tunajifanya Malaika mabaya yote yanafanywa Watu wa Jamii zingine.
Mkuu hata mimi kama mdau tu hapa,nikiingia duka la muhindi au mchina risiti yangu atanipa kamili Ila mmbongo mwenzangu sihangaiki nae.

Nchi yetu hii acha tufaidike wenyeji hao weupe siyo wa kutuibia sisi.
 
Sasa wakwetu wanafanya ila it's better pesa zinabaki haphapa bongo sasa wenzetu. Wanaenda kununua apartment Canada na Singapore
Viongozi wako wanaopiga Billions wanaenda kuficha wapi? CRDB? au kwenye SACCOS?

Nenda Abroad ukaone Wabongo wanavyokula Maisha na Shule na Magari wanayoendesha,acha kukariri mambo ya Nyerere na Kamba zake.
 
Mk

Mkuu hata mimi kama mdau tu hapa,nikiingia duka la muhindi au mchina risiti yangu atanipa kamili Ila mmbongo mwenzangu sihangaiki nae.

Nchi yetu hii acha tufaidike wenyeji hao weupe siyo wa kutuibia sisi.
Kwahiyo sisi tuibe ila akiiba Mtanzania mwenye Asili ya Malawi au ya Kihindi inakuwa NONGWA sio?

Kwa hiyo tunakuwa Wabaguzi hadi kwenye Wizi kuwa nani aibe nani asiibe?🤔
 
Hao wahindi wameshindiakana na wanafahamika kwa mauzo ya spare za gar kubwa scania howo faw na horse sas duka lipo mkabala na KFC restaurant kwa nyuma Kuna maduka mengi Happ ya spare za scania wamejazana hapo
Pale pana Fiber Auto Parts na Alpha Auto Parts
 
Kwahiyo tuwasaidie kukwepa kodi sababu zinaliwa huko juu ?
 
Ningekushauri uanzishe biashara ufanye alafu uone wewe ungefanyaje!

Lakini kitu usichokifanya huwezi kukielewa na kukitolea maelezo
 
Tuishi humo,mimi kumuachia muhindi pesa yangu ni kama kanikaba ila Mtanzania mwenzangu wewe kula tu huna baya.
Wakati wewe unawaza Ngono wao huwa wanakula Pilipili nyingi ili kupunguza hamu ya tendo la Ndoa ili akae Dukani au Kiwandani kutafuta pesa.

Nyerere aliwazulumu kila kitu Nyumba na Magari na kuwafanya masikini wa kutupa ila Wazanaki bado Masikini lakini Wahindi wamerudi na leo tunashukuru ndio walipakodi wakubwa hapa Nchini.

Mungu mkubwa huwezi kuzulumu ukabaki salama.
 
Viongozi wako wanaopiga Billions wanaenda kuficha wapi? CRDB? au kwenye SACCOS?

Nenda Abroad ukaone Wabongo wanavyokula Maisha na Shule na Magari wanayoendesha,acha kukariri mambo ya Nyerere na Kamba zake.
Kweli wee c mzalendo kbsa Ni mwizi uliye tukuka
 
Mfumo wa kukusanya KODI Tanzania ni mbaya ni si muafaka kwa biashara za kisasa kuanzia uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi mpaka ufanyaji wa biashara husika.
Kuanzia biashara za jumla mpaka za rejareja na uchuuzaji.
Kwenye uzalishaji na hata utoaji wa huduma.
Kote huko mfumo wa kukusanya kodi si muafaka kabisa na unazo loopholes nyingi ambazo zinatoa manufaa kwa mlipakodi kukwepa au kulipa pungufu na zinatoa manufaa binafsi kwa Zakayo mkusanya kodi kutajirika zaidi.
Ndio maana hawakubali kufanya marekebisho au kuleta mfumo muafaka kwa kuwa kuna watu wanafaidika.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…